Women are trouble makers

Wanawake hua mna matatizo sana kwenye kuishi na watu wengine.

Wanaume 10 tunaweza kuishi kwenye nyumba moja na kusiwe na mgogoro wowote. Ila wanawake wawili tu hamuwezi ku co-exist.
Inategemea na wanawake sio wote, wanawake wengi ugombana kwa tamaa na majivuno..!!
Mimi nishawahi kukaa na wanawake wengi wanaojitambua hawako hivyo mlivyjikaririsha.!
 
Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
Iyo statement ya kuishi nanyi kwa akili mnaitafsiri vibaya sana, mnaitumia kama justification ya mwanaume kukubaliana na matatizo, utoto, visirani, trauma na ubinafsi kutoka kwa mkewe huku mwanaume uyo akiwa na mawazo kwamba anatakiwa ku-adapt na izo characters mbovu za mkewe.

Listen madam, we are not rehabilitation centre, we also deserve the best. Wazazi wako ndio wenye jukumu la kukunyosha na kuishi na wewe kwa akili mpaka utakapokua end-product ndio uolewe.

We got some more serious issues to deal with than your dramas
 
Tatizo unatumia sana nguvu na hisia kum-control mwanamke.!!

Ngoja nikupe short story;
Kulikuwa na mwanaume alijitahidi sana kuni shape vile yeye alikuwa anataka, however alichemka sikuwahi kumuelewa kabisaaa tukaseparate, akatokea mwingine akaweza kunishape kitabia kwa njia rahisi na kwa haraka kwa kitu kile kile alichohitaji yule mwingine.!!
Je, hapo unaweza kuniambia nani alikuwa na matatizo kati yetu watatu??
 
mzee uko vizuri, nakubali

kuna mwamba mmoja ana liqour store huwa tunaenda hapo kunywa na kusikiliza hip hop huwa ni burudani sana

sasa jamaa masifa yakazidi kamleta wife wake hapo awe anauza. asee ni vurugu tupu ugomvi kila siku mwanamke hafai kabisa kwenye social interaction kuzua balaa ni sekunde
 
Inategemea na wanawake sio wote, wanawake wengi ugombana kwa tamaa na majivuno..!!
Mimi nishawahi kukaa na wanawake wengi wanaojitambua hawako hivyo mlivyjikaririsha.!
Exception cases zipo lakini kiujumla wanawake almost wote wapo ivyo, ni kama watu ambao hawapendi amani idumu kwa kipindi kirefu. Mkikaa muda mrefu bila kukwaluzana mwanamke atatafuta hata sababu ya kipumbavu tu kuanzisha malumbano.
 
.
The opposite of women are purported to be the peace makers



Ben Carson katika kitabu chake cha Think big kasema njia ya kufanikiwa kuishi na watu ni kuwa NICE

Hii mbinu Mimi nimeanza kui-Apply since 2023 and it is work out

So MTU akiwa trouble maker Mimi siwezi kuwa trouble maker bali nakuwa peace maker .

Ukiwa nice to people basi no body ataku-attack kila akijaribu anashindwa na kuogopa.
 
Natafuta Ajira strikes again...
 
Hii technique yako haiwezi fanya kazi kwa asilimia 💯
 
Kwa iyo case study mwenye matatizo ni wewe maana ndie ulikua na uhitaji wa kunyoshwa. Kama usingekutana na hao wanaume maana yake ungebaki vile vile. Ndipo hapo sasa tunathibitisha kwamba ile statement ya kutaka kuishi nanyi kwa akili mnaitumia ku-justify matatizo yenu mkifikiri ni wajibu wa mwanaume kuyabeba au kuwanyosha. Kama unanajua una tatizo fulani labda majibu mabaya, kiburi, tamaa n.k ni wajibu wako wewe binafsi kujirekebisha usimsubiri au kumpa ilo jukumu mwanaume
 
Umetumia mtazamo ambao ni mpana sana...
 
Hii technique yako haiwezi fanya kazi kwa asilimia 💯


Mimi naamini katika KARMA kwamba unachotuma kinarudi so ukituma kitu kizuri kitakurudia in different ways


So sio rahisi nitukane MTU au kugombana na MTU mambo mengi nachukulia kawaida Sana.

Hata huyu mtoa mada hajui anachokifanya ku-attack wanawake

Karma is a debt and not favoritism
 
Kuna jamaa alilalamika humu, kamfungulia biashara mke wake kala mtaji na kasema mtaji unaoendesha biashara ni mtaji wake😂

Maisha bila mke pia yana taswira tofauti, unajiona mpweke, unazini hovyo yaani kila dem atakepita mbele yako ni halali yako, yaani unazini weeeee mpaka unaona Sasa hakuna jipya, unasema ngoja invite bangi, ninywe pombe nk bado unaona kabisa at extent level you've got nothing but trouble.

Mwanamke ni shida,ngono ni shida,pombe ni shida,bangi ni shida, kwenda kanisani/msikitini ni shida kwasababu uko depressed na shida za kidunia, unajiuliza nifanye nini?

Kila kitu kwenye hii dunia nishida tupu.
MUNGU atusaidie maana hata ukiwa na pesa, bado haitamaliza shida, Kama hautapata sehemu ya pili ya roho yako.
 
Hivi vitabu tunavyosoma tunatakiwa tujue kwamba vimeandikwa na watu wa ulaya na marekani kwa kufanya rejea ya mazingira yanayowazunguka ambayo ni tofauti ma mazingira yetu, kwaiyo tunavyo-aply yaliyoandikwa tuwe tunachanganya na akili zetu binafsi.

Kama tunavyojua umasiki unaambatana na chuki, husuda, roho mbaya, uchawa, ubinafsi n.k kwaiyo kuwa nice kwenye jamii ya watu masikini sio kitu salama sana kwa mustakabali wa maisha yako.
 
Hapa umenena vema sana. Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…