Wanaume wengi wanakosea ..kuwa na hela sio kigezo cha kila mwanamke atakuwa na wewe.."chemistry "kama umekulia kijijini kuwa na mwanamke wa kijijini (ukweli mchungu)kwa ajili mambo yako ya kijijini hayawezi kukuisha mfano hata lafudhi sister duu utakuja kumboa..ndio maana una hela demu\mkeo anaenda kwa walamba lips kumbe wewe sio type yake bali ulijiamulia mambo🏃♀️🏃♂️🏃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.