Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
Kwani ikiwa ni alovera kuna tatizo gani? Halafy kwani ni lazima ukoment c upite kimya kimya wabongo bwana, kama unaona haikufai kuna wengine inawafaa,
tatizo la Watanzania ni kuwa wanajifanya wanajua na huku hawajui na hawako tayari kutaka kujua zaidi. mama dunia check PM
Unaelewa maana ya transparency kwanini ufiche, kuweni open bwana, na ninasema hivyo kwakuwa last time nilikuwa mhanga thats why, na tuliuliza mara mbili mbili ni kwaajili ya nini hasa ohh ni ujasiriamali tuuu, tukaenda kumbe alovera so we need to know, msifiche wekeni mambo wazi ili mtu ajue anakuja kufanya nini