Women, don't miss this event...

Women, don't miss this event...

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
women.jpg

Come and get to know and hear from the successful women entrepreneurs in Tanzania in the field of NETWORK MARKETING (HOME BASED BUSINESS) who knows this year might be the beginning of the journey to prosperity....

Guest speaker is Madam Sarah Kizito all the way from Uganda and our First Lady Mama Salma Kikwete will be the guest of honor..

Venue: SERENA HOTEL DSM CITY CENTER
Participation fee is Tshs 20000 book your seat Now by calling 0713 348165
 
20,000 .......??
hapa ndo ilipo news....lol

kusaidiwa hadi ulipe?
 
Toa pesa upate pesa! Sasa pale Serena Hotel wako kibiashara zaidi wanatakiwa kukuandalia ukumbi,drinks na bites wewe hutaki kulipa unataka bure si uende ukakae pale ferry ufanyiwe hiyo semina bure! Mtu maalum kama First lady anakuwepo wageni rasmi toka nje ya nchi nk, wanakuja kukufaidisha we unaona gharama, si uache tu Wabongo bana!!!!!!
 
kwanini usiseme ukweli kuwa ni mambo ya ALOVERA?? manake nakumbuka last year mwishoni mlitangaza watu wakajaa markham salale kumbe ALOVERa hehehehe baaadhi ya watu waliishiwa nguvu walijua ni mambo tu ya ujasiriamali mhh sema ukweli kuwa ni ALOVERA business
 
Kwani ikiwa ni alovera kuna tatizo gani? Halafy kwani ni lazima ukoment c upite kimya kimya wabongo bwana, kama unaona haikufai kuna wengine inawafaa,
 
Kwani ikiwa ni alovera kuna tatizo gani? Halafy kwani ni lazima ukoment c upite kimya kimya wabongo bwana, kama unaona haikufai kuna wengine inawafaa,

Unaelewa maana ya transparency kwanini ufiche, kuweni open bwana, na ninasema hivyo kwakuwa last time nilikuwa mhanga thats why, na tuliuliza mara mbili mbili ni kwaajili ya nini hasa ohh ni ujasiriamali tuuu, tukaenda kumbe alovera so we need to know, msifiche wekeni mambo wazi ili mtu ajue anakuja kufanya nini
 
tatizo la Watanzania ni kuwa wanajifanya wanajua na huku hawajui na hawako tayari kutaka kujua zaidi. mama dunia check PM
 
tatizo la Watanzania ni kuwa wanajifanya wanajua na huku hawajui na hawako tayari kutaka kujua zaidi. mama dunia check PM

kwa nini umpm, si uweke hapa sote tujue????????????? AARRrrgh! hata mie nlianza kuvutiwa lakini nishakuwa na mashaka
 
Kiingereza tabu!

"Women don't miss this event" inaweza kutafsirika kama.

"Wanawake msikose tukio hili"

"Wanawake hawalipendi (hawalikosi) tukio hili"

Yote yana apply, ingawa yanasigana, kutegemea na wanawake gani unaowaongelea.
 
hongera kwa wote waliohudhulia natumaini mlijifunza mengi na for sure maisha hayatakua the same again there must be positive results. karibuni tena
 
Unaelewa maana ya transparency kwanini ufiche, kuweni open bwana, na ninasema hivyo kwakuwa last time nilikuwa mhanga thats why, na tuliuliza mara mbili mbili ni kwaajili ya nini hasa ohh ni ujasiriamali tuuu, tukaenda kumbe alovera so we need to know, msifiche wekeni mambo wazi ili mtu ajue anakuja kufanya nini

Kabisaqwell said
 
Next time muweke wasifu wa wazungumzaji na nini watazungumza cha tofauti. Ukisema tu ni fulani na fulani atakuwa mgeni rasmi kwa kweli haitoshi. Tunahuhuria mikutano na kitu ni kile kile na watu ni wale wale. faida ni kubadilishana business cards na kati ya watu kumi,wawili ndo unaweza fanya nao kazi baada ya hapo. otherwise,malengo ni mazuri!
 
Back
Top Bottom