Women drivers

Women drivers

Dereva Suka

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
176
Reaction score
289
Katika mizunguko yangu hapa mjini (Dar) sijawahi kuhabatika kumuona mwanamke au msichana akiendesha gari akiwa ame relax yaani akiwa kaegemea siti yake (exaggeration[emoji2] ) ...mara nyingi huwa nawaona wakiwa wamekaa mkao wa upright..yaan anakaa kama vile anachungulia mbele ili aone vizuri..[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani wadada na wamama kuendesha gari sio mateso au kazi ya kukufanya uchoke kama vile umetoka kulima....kwa style yenu ya kuendesha huwez kutoka hapa Dar hadi Kibaha kabla hujachoka kabisa.

Egemea siti yako...kama kiti kipo mbali kuna sehemu ipo chini ya kiti au pembeni ya kutwist kiti chako kiende mbele au nyuma ili kupata balance zaidi.
You can manipulate the seat on your comfort.

Drive safe Drive responsibly.
 
images.jpg
 
labda wengi huwa ni wafupi na wanashindwa kuviset viti vyao ili viendane na vimo vyao.
 
Sio wote kuna dada moja yupo na jeep ya red anajiita kokubanza maeneo ya Mikocheni mbona huwa ana relax

Na mwingine Neema Arusha anatemesha moto WRX vibaya mno nilipata kumwona Tanga kwenye Rali
 
Sio wote kuna dada moja yupo na jeep ya red anajiita kokubanza maeneo ya Mikocheni mbona huwa ana relax

Na mwingine Neema Arusha anatemesha moto WRX vibaya mno nilipata kumwona Tanga kwenye Rali
Ndio maana nikasema ni exaggeration
 
Sio wote kuna dada moja yupo na jeep ya red anajiita kokubanza maeneo ya Mikocheni mbona huwa ana relax

Na mwingine Neema Arusha anatemesha moto WRX vibaya mno nilipata kumwona Tanga kwenye Rali
Nampata Neema...na anaendesha manual Subaru.
 
Mkuu sasa kwa wale madereva wa mabasi ya mikoani wanawezaje sasa
 
Mimi nahisi seat belts huwa zinawaumiza sana kwa mikao yao ile. Halafu uwaone kwenye kona kali hiyo stelingi inavyonyongwa utacheka ufe.
 
Back
Top Bottom