Women: ...is there any truth?

Women: ...is there any truth?

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Kuna tetesi kwamba after marriage na wanandoa wakajaliwa mtoto/watoto, then mwanamke anahamishia mapenzi kwa mtoto/watoto, na kumsahau mumewe "for a while". Is it true? Kama ni kweli haya si ndio chanzo cha nyumba ndogo na matatizo mengine ya unyumba?
**
Come on women, married and unmaried, hebu dadavueni vizuri hili jambo.
...
SI unit!
GOODMORNING.
 
ni kawaida....
na kwamwanaume wa ukweli anayejua wajibu wake atakuwa bega kwa bega na mkewe mpaka kipindi hicho cha mpito kipite.....
 
mkuu yalikukuta au umehadithiwa maana sidhani mama akimpenda mkid wake ndio wewe upate excuse ya kwenda small house..
 
ni kawaida....
na kwamwanaume wa ukweli anayejua wajibu wake atakuwa bega kwa bega na mkewe mpaka kipindi hicho cha mpito kipite.....
.
Inasemekana hata huo mpito ukiisha bado mapenzi hayanogi as before conceiving..
 
Back
Top Bottom