Women mathematics

Women mathematics

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,837
Is the answer right?
 

Attachments

  • money.jpg
    money.jpg
    40.1 KB · Views: 882
Unamtukana mama yako mzazi kuwa yeye ni tatizo la hata kukuzaa wewe...usisahau ile hekaya ya Achebe " mother (woman) is the most important person of all.."
 
Hii ni nadharia ya ukandamizaji, angalia hapa kwetu bongo wanaoleta matatizo hasa ya ufisadi ni kina nani? Hata hapa jamvini wanaoleta threads zenye kukasirisha ni kina nani? Waacheni mama zetu wamebarikiwa! Tatizo la m2 mmoja lisifanywe kuwa la jamii nzima! Its fallacious, me ukinambia hivyo nitaandamana hadi kesho. Mamangu alipokuwa hai tuliishi kwa amani sana ndani ya familia lakini baada ya kutoka NA KURUDI KWA MUUMBA matatizo kila kukicha. I truly believe that man is the source of problems only that some FEW WOMEN may cause some FEW problems!
 
hashy cool una minyoo?
umetendwa?naamin mamako mzazi si tatizo bali ao....wa pemben labda wamekuvuruga ubongo mpk useme maneno km aya
km vp labda wanawake wako ndo matatizo bt nt ol women includng yr own mumy hawana matatizo.
pole lakn manake mpk kufikia stage i ya kuwatusi wakike bas tatizo ni kubwa more than u can imagine.....any way nthng to say more than M SO SORY 4U.
za asubuhi?chai imepita tayar?
 
Je, hii?

(((A woman + A man) - Clothes) + A bed), divide legs, then multiply....!
 
Join DateSat Oct 2010Posts45Thanks2Thanked 3 Times in 3 PostsRep Power
 
mh namweshimu mama yangu na wanawake wote sina mchango
 


Mbona wadau mnakuwa na hasira hivi, tumeathirika na mambo ya uchaguzi nini?
Ni mangapi unatamka kila siku yanamu'include mama yako lakin i unaona ni lugha ya kawaida?
Sioni lolote lenye shida hapo, unless kama mtu ana hamaki zake binafsi!
Watu mnalipia bili na kodi za nyumba kila siku nyumba ndogo halafu mnakifanya kufoka hapa..acheni unafiki bana...huh..
Huo ndiyo ukweli
Dont refer to your mom, take ana example of your gal....huh!
 
Back
Top Bottom