Haka kabinti kwa ubishi.....khaaa!...........Kama hajali kwanini azime simu usiku?Kwanini yeye aseme kama hajali kua nao wote wawili?!Huyu anaejali ndie alietakiwa kuuliza ili ajue kama panamfaa au la!!!
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
We Mkirua kwani hujaona aliposema kwamba "we‘ve been dating!"...?
Jukwaa lipi? La Maria Roza nlikokuacha au lipi?Umeonaeeeeeeeeee halafu kule nimekuuliza swali ukijifanya hunielewi?
Kumbe ni jukumu la mwanaume kumuuliza mwanamke kama ana M2. na sio jukumu la mwanamke Kusema am already occupied
Nimeona Lizzy ndo maana nikamwambia unatuchanganya kwasababu ni kipi kinatangulia kati ya dating na feelings kwamba unampenda?
Haka kabinti kwa ubishi.....khaaa!...........Kama hajali kwanini azime simu usiku?
Mkuu uliza kwanza usije ukatolewa nundu mtaani kwa kuparamia za watu
Imagine mwenye mali angekukuta kwenye hizo regular places zako ingekuwaje
Kumbe ni jukumu la mwanaume kumuuliza mwanamke kama ana M2. na sio jukumu la mwanamke Kusema am already occupied
Anazima simu kwasababu usiku ni muda wa baba mwenye nyumba...mpaka dakika hii bado sioni kosa la dada kutomjulisha mtu kitu ambacho yeye hakuona ni muhimu na mhusika hakuuliza.
<span style="font-family: comic sans ms">Nimeona Lizzy ndo maana nikamwambia unatuchanganya kwasababu ni kipi kinatangulia kati ya dating na feelings kwamba unampenda?</span>
Nimekusoma kabisa. Nilikua sijui kama ni jukumu langu kuuliza. nilikua ninajua ni jukumu la mwanamke kuniambia kabla sijamuuliza
Anazima simu kwasababu usiku ni muda wa baba mwenye nyumba...mpaka dakika hii bado sioni kosa la dada kutomjulisha mtu kitu ambacho yeye hakuona ni muhimu na mhusika hakuuliza.
Si ndo hapo Mkuu, Yaani wiki mbili hata hamjazoena vizuri unaanza kuuliza maswali kibao? mi nadhani huyo dada alimpenda tu jamaa kwa ajili ya kuridhishana na hakujua kua msela anataka long term relation!We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
na hapa nadhani dada alichukulia zaidi ni company yaani sio uhusiano wa kuwa wapenzi
Lizzy seriously!
Hivi nikakutongoza leo, nikiwa sijui uhusiano wako na Nyani Ngabu. utanikubalia?
Mimi ninapomtongoza mwanamke kuna majibu siyapendi, kwahivyo sitengenezi mazingira ya kupata hayo majibu