Mkirua! Do the affections you have towards a woman/man whom you are in relationship remain constant since you first met?
Mkuu aliponiambia siku hiyo kuwa yuko kwemye ndoa nilitoa macho kama fundi saa. Coz nilikua naona kila mwanaume anayeingia lile eneo ndio mhusika.

Jamani hilo swali si ndo la kumuuliza

Siku ya kwanza ...
Absolutely!! Yaani ukiona hadi mkae sana ujiulize ulize sana basi jua ni kama kisa kimoja cha rafiki yangu aliyeniuliza kuwa kuna bar moja hapa mjini anahisi ma bar maids wake ni wachawi kwasababu akishakunywa bia zao huwaona wazuri sana na kuanza kuwatamani tofauti na aingiapo. Kumbe kinywaji ndo kinamkata mishipa ya noma na kuamsha tamaa inayomuonesha kila mmoja ni Bomba hata anayelingana na mama yeke.
Therefore affections change with time!!.
Chochote kile kinaweza kikatangulia...
Count me on that List

Nimekusoma kabisa. Nilikua sijui kama ni jukumu langu kuuliza. nilikua ninajua ni jukumu la mwanamke kuniambia kabla sijamuuliza

watu sijui ndio kwenda na wakati au vipi, hawapendi kuongelea marital status zao tangu awali wakati ni jambo la msingi kabisa.
Nyie viumbe wenye ndevu, jirekebisheni hapo, unapomuapproach mtu kwa mahusiano ya kimapenzi make sure unauliza hicho kitu, binafsi huwa nashikwa na maswali kama mtu wa namna hiyo hajaniuliza... Ni wanawake wachache wanaoweza kujielezea hayo bila kuulizwa, wengine hadi uwaulize ukikaa kimya nae anakaa kimya ingawa moyoni anaweza akawa anatamani kuulizwa.
Hahahaha...unanchekesha kweli.Kwahiyo wewe mtu akikaa na wewe akaongea na wewe ndo kakwambia anakupenda?!Imekula kwako...ungekua rafiki yangu labda ungedhani natangaza ndoa kabisa maana ningekualika mpaka na chakula nyumbani kwangu mara kadhaa...ningetaniana na wewe...ningefurahia company yako ka huboi huku nikukuchukulia kama rafiki tu!!
Unajua sisi wanaume tunapenda sana Positive answers wakati wa kumtongoza mwanamke.
Enzi zile walikua wanasema nitakufikiria?
siku hizi hilo jibu sijui kama lipo tena.
Wewe usiniwekee maneno mdomoni tafadhali.Kama kwa kufanya hivyo kumefanya wanawake wote wawe weak basi wanaume nao ni weak maana wapo wengi tu wanaowaingiza wa dada mjini mpaka mahusiano yakishakolea ndo wanashangaa kujua kaka ana mke na watoto.Got you Lizzy!!
Therefore women are weak and men should always take care.
Hahahaha...unanchekesha kweli.Kwahiyo wewe mtu akikaa na wewe akaongea na wewe ndo kakwambia anakupenda?!Imekula kwako...ungekua rafiki yangu labda ungedhani natangaza ndoa kabisa maana ningekualika mpaka na chakula nyumbani kwangu mara kadhaa...ningetaniana na wewe...ningefurahia company yako ka huboi huku nikukuchukulia kama rafiki tu!!
Wewe usiniwekee maneno mdomoni tafadhali.Kama kwa kufanya hivyo kumefanya wanawake wote wawe weak basi wanaume nao ni weak maana wapo wengi tu wanaowaingiza wa dada mjini mpaka mahusiano yakishakolea ndo wanashangaa kujua kaka ana mke na watoto.
Wewe hua unabaka wanawake wanaokua na urafiki na wewe?!Kama ni ndio HUFAI!!huogopi kubakwa?
Mmmh usije tu ukataka kuhamia maana maandu yangu na nyama aka machalari sio mchezo!!!lolzLizzy nialike mimi ni mpole sana wala sitakuchokoza....... Halafu kuleeee ulikonipiga maswali kibao nshaweka majibu.....

Unajua sisi wanaume tunapenda sana Positive answers wakati wa kumtongoza mwanamke.

Enzi zile walikua wanasema nitakufikiria?

siku hizi hilo jibu sijui kama lipo tena.
Ndo maana tunasema lolote utakaloambiwa changanya na akili zako na chunguza sana kabla ya kukubali kuvuliana nguo