Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tatizo ni kwamba watu hua tunakurupuka mno.Umenijua leo wiki ijayo unanitongoza...hujui nikoje kiundani...hujui kama nna mtu japo nimekwambia sina...hujui nafanya nini labda ni mjasirilimali wa asili (dada poa)...hujui nani anaeniweka mjini ila tayari uko tayari kunivua nguo.
Kua rafiki yangu...piga story na mimi...nichunguze kwa maswali bila kuashiria unataka zaidi ya urafiki...nisome kwa maongezi yangu...baada ya muda omba hata kunitembelea alafu sasa ndo ufikirie kunitongoza.Sio mambo ya wanijua leo...wanitaka leo!!!

Watu hawataki process ndefu siku hizi,acha yatukute
Jamani mlio olewa mkitongozwa mseme mmeolewa mwaya

Mpe jichoNdugu naona kweli una obsession na mimi. Vipi kuna kitu umenimaindi au? Maana naona unanifata fata sana kila sehemu. Nikusaidieje?
Tatizo ni kwamba watu hua tunakurupuka mno.Umenijua leo wiki ijayo unanitongoza...hujui nikoje kiundani...hujui kama nna mtu japo nimekwambia sina...hujui nafanya nini labda ni mjasirilimali wa asili (dada poa)...hujui nani anaeniweka mjini ila tayari uko tayari kunivua nguo.
Kua rafiki yangu...piga story na mimi...nichunguze kwa maswali bila kuashiria unataka zaidi ya urafiki...nisome kwa maongezi yangu...baada ya muda omba hata kunitembelea alafu sasa ndo ufikirie kunitongoza.Sio mambo ya wanijua leo...wanitaka leo!!!
Mgumu sana wewe
Watu hawataki process ndefu siku hizi,acha yatukute
Wala sio...ntakurushia namba ya mtu mmoja hivi anakwenda kwa jina la Da.....y akwambie.
Vivy kumbe ukisimama unakuwa wa kawida hivyo?
Mpe jicho
Unapenda rangi ya pink?
Unakuwa bomba kivile..