Women!!!

duh pole sana ungejua vizuri kabla ya kuji involve kihivi, japo najua kuna mahusiano mengine yanaanza na speed kali maswali yanakuja baadae, wengi wa namna hii ni wale ambao walidhani wanapita tu mahala then wananasa hapo ndio anaanza kuulizia ukoo na status
 
<br />
<br />
kweli kabisa mkuu ni wale waliokuwa na mkakati wa ku heat and run, lakin ajabu ananogewa na anaanza kufikiria kuweka kambi kabisa,hapo sasa ndipo maswali huanza ili apate info ya kutosha akiridhika anajiweka mzima mzima
 
Ulipaswa toka siku ya kwanza ujue ukweli wa hilo.

Lakini usife moyo inawezekana akaja kukwambia kitu cha kukutia moyo.

Mfano :Kuna demu alitokewa na kusema kwamba yy ameolewa kwao na hivi hataki kuwa na rafiki wa kiume kwa ajili ya kulinda ndoa yake.
Baada ya mshikaji kukaza kamba demu akasema mumewe anafanya mpango wa talaka kwa kuwa yupo mbali na asingeweza kuendelea na ndoa hyo.
Ungekuwa ndo ww mtokeaji si umeambiwa karibu?

Chunguza ,sikiliza,ongea kidogo, changanya na zako chukua hatua.
 
......hapo kimbia ndugu yangu,mke wa mtu sumu....!!
 
<br />
<br />
Dah! Haya maujuzi utadhani unafundishwa rocket science... Haya mambo haya...basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…