Women...........!

wanamme wenyewe wakwapi???

Hawa tunaogombea nao mabwana???

Una utani
 
Mwanamke hana manufaa zaidi ya usaidizi ee?

Sasa mbona hayo majukumu mengine unataka ayafanye yeye yote na sio kama msaidizi?
 
sijasema mwanaume kutotimiza wajibu wake kwa familia,nasema mwanamke atimize wajibu wake na mwanaume atimize wajibu wake,sio kunilazimisha nikufanyie majukumu yako kwa sababu ya kudai haki/usawa.

Ndio maana nikakueleza nidhamu hujengwa, mwanamke akikupelekapeleka it means wewe ni dhaifu you can't handle your affairs period!
 

kunanihiiii sio usaidizi,hiyo ni haki ya wanandoa.
 
huko sasa itakuwa ni ile ishu ya kuwatunza ma mariooo,hapa nazungumzia for a responsible women and men,kumnunulia mmeo gari ni kama zawadi tuu strong lady na hivyo haikuondeshei wewe majukumu yako ya msingi kwa mwanaume.

majukumu ya familia ni kusaidiana jamani, hebu fikiria wote mnafanya kazi,mnarudi home late mkifika mwanaume unakaa tu kwenye kochi umeshikilia rimoti, mwanamke aandae chakuka,ule aoshe vyombo na bado utahitaji na kile chakula cha ndoa, hee ist possible? majukumu ya familia ni ya wote jamani tusifanye ndoa iwe burden kwa upande wa mwanamke tu.
 
Kuna jamaa yangu amekamuliwa mahari milioni moja na laki mbili za Tshs. Unadhani hii kitu haina bearing na namna hawa waoanaji watakuwa wakihusiana???
 

Si tu kwamba ana matatizo bali si mwanaume kabisa, avalishwe baibui na kanga.
 
yan hiyo new edition ni poa ile mbaya,wakitaka tufanye hayo warudi kwenye majukumu yao
 
Hivi tofauti ya mwanamke na mwanaume ni nini ukiacha maumbile?
 
kama ambavyo imeandikwa mwanamke ni msidizi wa mwanaume,so ni jukumu lako wewe kuhakikisha mumeo anakula vizuri na anakuwa msafi,lakini pia kumsaidia kwenye bills kama unauwezo.

hapo kwenye red: siku zote mkuu ndio kila kitu na msaidizi anakuwa msaidizi tu, kwa hio kila mtu afanye jukumu lake, lini uliona Kikwete anamwachia Bilali kuapisha viongozi? Au naibu waziri anawajibika kwa kazi ya waziri?
 

Mara nyingi issue hizi huwakuta wale wanaokataa kutafutiwa wenza wao (wake zao) na wazazi wao
 

ukiona mpaka inafikia hatua ya mkeo kukupangia zamu ya kufanya shughuli za nyumbani ujue kabisa wewe sio mwanaume imara tena ni DHAIFU haswa! Mimi ninachozungumzia ni wanandoa kusaidiana kwa mapenzi yao bila kupangiana, mfn. mume akijisikia kupika weekend hakuna ubaya ni mahaba hayo..
Hiyo ya kutaka wanawake wasifanye kazi ni mtazamo duni sana cause wapo wanaofanya kazi na wanatimiza majukumu yao vizuri, elimu imemkomboa mwanamke kutoka kwenye unyanyasaji uliokua unafanywa zamani, kwa dunia ya sasa huwezi kuzuia m/mke asifanye kazi cha msingi kama unataka kuoa ambae hafanyi kazi(tegemezi) tafuta wamejaa tele!
 
Siku mtakapoacha kudai 50/50 sharing of bills na ndio sio siku tutafikiria kuwapikia 3 x a day na kuwafulia.

Asante MadameX, ujue ni hulka ya mwanadamu kuyaona mapungufu ya mwenzie bila kutafakari anachangiaje ktk madhaifu hayo?
 
Last edited by a moderator:

kwani wakati nakuoa nilikwambia nakuoa kwa ajili ya chakula cha usiku tuu,hujui kuwa wengine wanaoa ili wafuliwe,wapikiwe sasa ukianza kumwambia ayafanye hayo utakuwa unamkosea.
 
Tatizo hapo ndugu zangu ni kuwa kuna dadas wamelelewa na upande mmoja tu wa mzazi,hapa niseme mama,na kama hajawahi kumuona mama yake akiwajibika kwa baba yake hatakuwa na cha kujifunza na hivyo ni vigumu kuwa mkamilifu katika ndoa,pamoja na kuwa si wote,hivyo pia kwa sisi wanaume kama baba hakuwa familly man ni ngumu pia kwa baadhi yetu kuwajibika ipasavyo kwa familia zetu,labda kama umekwenda shule na umetembea kidogo.Kingine ni utandawazi mambo ya haki sawa,kama ni kazi tunafanya wote na tukirudi home wote tumechoka hivyo ngoma droo.Hii pia inachangia sana kwa divorce nyingi asubuhi ndoa mchana wameachana.TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 

Pokea like zangu ma dia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…