Women...........!

Women...........!

If we dont watch out we gona be destroyed by these women,they dont fullfil their duties,they want to share them with their husbands,is this the way an African women raised and taught by their mothers?may be not;if that's the case why in those yester years women were very responsible to their husbands?women were very respectful,obedient to their husbands,wahy alaa these are not done by today's women/wives?is it because of educational arrogance?is it because of much pressure from feminist to make sure that they rule the world?(just curious),may be if get some answers for those question;i will be able digest this issue on its depth.
 
pole kaka, labda malezi uliyopewa ndio yamekufanya ulivyo/ au jamii iliyokuzunguka....

kukusaidia tu, ukiwa na heshima nawe tarajia kuheshimiwa.... ukiwa mtii tarajia kupata utii, hiyo si kwa jamii tu bali hata kwenye ndoa pia,

na ndoa haijengwi kwa kufua na kupika, chunguza malengo yako ya ndoa ni nini?
kama ulioa upate mtumishi wa ndani matokeo yake utakuja kulalamika kwenye mitandao... au utaona ndo chungu na kuhukia wana harakati wote...
lakini kama ulioa mtu unayempenda na kumthamini, ambaye akiumia unaumia, ambaye moyo wako unapiga samasoti kila ukimuona hizo kazi unazoziita "majukumu ya mkeo" hutozilalamikia maana mke atazifanya kwa upendo, na utashirikiana kikamilifu na mkeo kuzifanya....

lakini kama ulilelewa kwa mawazo ya "kazi za kike" na "kazi za kiume" lazima ndoa yako iwe timbwili timbwili......
kama umekulia kwenye familia/jamii ambayo mwanaume anaheshimiwa ila yeye hajui kuheshimu...ndoa lazima itakushinda.....kumbuka hata mkeo ana limit ya kuvumilia ubabe na undava toka kwa mumewe.....

kama unaishi ndoa ya mume ndo mwenye final say hata kama ni pumba...tegemea mifarakano....

kwa ushauri tu jichunguze vizuri, kumbka si kazi rahisi kujenga ndoa...
kuna sacrifaces nyingi nyingi kati ya mke na mume,
kuna kujitoa kwa hali ya juu......

baada ya kusema hayo, mleta mada nawatakia majadiliano mema...

If we dont watch out we gona be destroyed by these women,they dont fullfil their duties,they want to share them with their husbands,is this the way an African women raised and taught by their mothers?may be not;if that's the case why in those yester years women were very responsible to their husbands?women were very respectful,obedient to their husbands,wahy alaa these are not done by today's women/wives?is it because of educational arrogance?is it because of much pressure from feminist to make sure that they rule the world?(just curious),may be if get some answers for those question;i will be able digest this issue on its depth.
 
Mi nadhan hakuna ubaya wowote,hayo ni makubaliano kati ya mume na mke kusaidiana majukumu,maisha ya ss ni tofauti na ya zamani,kila mtu anatakiwa aplay part,cha muhimu ni kuheshimiana tu!kazi za nyumbani baba anaweza akasaidia siku moja moja inapobid.
 
Siku mtakapoacha kudai 50/50 sharing of bills na ndio sio siku tutafikiria kuwapikia 3 x a day na kuwafulia.
Pole kumbe unalipia bills 50/50 na jamaa lako? Liko very unfair asee. Mianaume mingine sijui ikoje? Hata kukukopa halijui? LOL
 
Pole kumbe unalipia bills 50/50 na jamaa lako? Liko very unfair asee. Mianaume mingine sijui ikoje? Hata kukukopa halijui? LOL

Duuh, I am talking based on today's trend, about me bwana wa aina hiyo kwakweli haniweki nyumbani kwake!
 
Back
Top Bottom