Women's Day -Hamna zaidi Mishono ya Vitenge?

Women's Day -Hamna zaidi Mishono ya Vitenge?

Super woman wapo vijijini
 
Women who make least noise are the ones their stories have to be told. The unknown and unsang heroines.

Mimi ni mwanamke lakini natamani saana wanawake ambao against all odds wamefanikiwa kwa nafasi zao wapewe pongezi awe kijijini au mjini. Ni jukumu la wanahabari kuwatafuta hawa wanawake.

La kuvaa kitenge - mimi ninaiangalia kwa njia tofauti. Hii ina symbolism - uniformity na equality irrespective where you sit at the corporate ladder. CEO na Messenger wote on that day are the same. Tusiwe watu wa kudis tu.
 
Umeniwahi yaani zaidi ya kushona sare na kupiga picha hakuna jipya na wamama wa kitaa wanaendelea na mishe zao
Inashangaza mno kwa zama hizi za fursa za kibiashara kwann wasipiganie Sheria ya manunuzi ya umma isaidie vikundi vya wanawake
 
Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
Kwa Kweli naonaga tu Wanawake wamevaa vitenge,lkn cha pekee sijui.
 
Angalia Clouds Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani
[emoji23][emoji23][emoji23],Kuna mmoja Alikuwa anajigamba kuwa analima mbogamboga na kuuza nchi za Ulaya na America.
 
Wanawake wanatunushiana misuli tu

Ova
 
Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
Unataka waonyeshe nini?
Kwa nini wewe usibuni kwa niaba yao?
Mwanamke kazi yake ni kuvaa, kubuni ni jukumu la kila mtanzania.
 
Back
Top Bottom