Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
...hahahaha,tena akakamae!!du! kumbe unatallent ee? unawezaje kuyajua mashetani kwa haraka hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...hahahaha,tena akakamae!!du! kumbe unatallent ee? unawezaje kuyajua mashetani kwa haraka hivyo!
...hahahaha,tena akakamae!!
mkuu kila habari ina jukwaa lake humu jf , habari husika unapost jukwaa husika,
hii ulitakiwa post jukwaa la jamii photos, kidogo kidogo utafahamu
karibu mgeni
ni kweli kabisa mkuu!!
lakini kumbuka mkono mtupu haulambwi...!!
na, mgeni akija mwenyeji hupona japo kwa namna fulani hivi!
mkuu una lugha nzuri sana na ya kistaarabu
endelea hivyo hivyo
yanafunguka Mahusiano, mapenzi, urafikimkuu nashukuru sana.. ila mbona MMU na jukwaa la elimu kwangu hayafunguki? kuna nini?
ama ni kwangu tu ndio kuna tatizo hili?
yanafunguka Mahusiano, mapenzi, urafiki
Huuuuuuiiiiiiiiiiii Mpwa habari za ugeni/wenyeji wako? Muzima ya afya weye? hahahahaaaaaa sioni kitufe cha ze LIKE nilitaka nikipige faster sana
Karibu JF.
Dah we mkali m2wangu!, nielekeze na mimi bac make mgeni!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kakajambazi tena!!!!?yereuwiiiiiiii, my Mentor umemuacha wapi mpaka unigee kaka jambazi,jina tu naogopa?
ahsante mkuu Globu ....
nimeshakuwa mwenyeji sasa..!!
bado mke tu ndio sijapata!!!!!
cc : miss strong!
jamani mbona sipati shamra shamra!!!!!!!!!!!?????????????
au hamnijui?
nimepaki hummer H3 hapo nje, nimemuachia kidogo lara 1 apigie picha!!
sasa naomba niwaite mje angalau mnigongee like za kutosha..!!!!!!
wawili wawili tafadhali!!!
1... Madame B + watu8
2... lara 1 + The Boss
3... Mtambuzi + madameA
4.. Kaunga + Evelyn Salt
5.. Mshinga + cataliya
6.. Mamndenyi + General8
7... miss strong + Eiyer
8... Heaven on earth + TIQO
9... Smile + Bujibuji
10.. MadameX + @nyalikihinja
11.. Asnam + smart one
12.. Lady doctor + Zjilala
13... Kongosho + Rafiki Mkweli
14... mimi49 + ulanzi mtamu
15 .... christine ibrahim + Kaka jambazi
16..... Cynthia Chriss + Elli
17. charminglady + Mentor
18... Kaunga + The Boss
19... Simplicity + gfsonwin
and
20..... ladyfurahia + Eli79
The above are our guests of honour....!
NAOMBA NIENDELEE KUITA MAJINA, MPAKA PALE WATAKAPOFIKA..
TAFADHALI UKIONA JIRANI AMA BEST YAKO HAYUPO HAPA, UNAWEZA KUMUITA AJE AJUMUIKE!!
ni hafla tu ya kunikaribisha, sio big party ya kiviile!!
wengineo : Ambitious, LIKUD, Blaine, AshaDii, MBOOYA, God bell, Mr. Wise, golden girl, Wisest man, alitu8, Msamiati, chatts55, BAK, mwekundu, Preta, Fixed Point, kayaman, data, Mr Rocky, Horseshoe Arch, Chocs, double R, HorsePower, life is Short, Angelicious, Kaizer, DEMBA, Erickb52, Pdidy, The secretary, Ablessed, snowhite NA WENGINEO!!!!!
NO RULES!!!!!!!!!! NO REGULATIONS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
LIKE...... THEN COMMENT !!!!!!!!!!!!!!!!
....ha haa haaaa yaani nimechekakwanini unamuogopa Kaka Jambazi?.. mbona jamaa ni charmful sana mpaka charminglady analifahamu hilo...?
kwani Mentor keshatoa mahari??...... si bado, au?