Wooo woo wooo

Wooo woo wooo

Kila nikisoma hiyo id yako najiona kama nasoma sukhaira, hii inanishawishi kusema hiyo id sio ya kiume mkuu
 
Write your reply..."suriya" wanawake wazuri wenye makamo au umri wa kuolewa sasa nafadhaika unavyojiita hvyo
 
Suriya ni kijakazi au msaidizi wa kazi wa kike ambaye kwa watu wa Middle East enzi hizo mwanaume alikua anaweza akajitwalia na kumfanya mkewe. Kwa mfano Bibi Hajira ambaye ni mama yake Nabii Ismael alikua ni Suriya kwenye nyumba ya Nabii Ibrahim na kwa ushauri wa Bibi Sara(Mke wa Nabii Ibrahim na mama wa Nabii Is-haq), Nabii Ibrahim alimtwaa Suriya Hajira na kuwa mkewe ambapo walimzaa Nabii Ismael
 
Shule zimefungwa tujiandae kisaikolojia kina suriya wamemwagika jf kama wote
 
Write your reply..."suriya" wanawake wazuri wenye makamo au umri wa kuolewa sasa nafadhaika unavyojiita hvyo
Oya mm wakiume
Go to google and write Suriya
 
Back
Top Bottom