marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Siku z hivi karibuni nimekuwa Niki experience changamoto hii!! ya Ku explain mchezaji mpaka umuite world class player anatakiwa awe amefanya nini? au ananini? katika career yake ya soka
Kuna ambao wanasema kwamba mchezaji lazima awe anafunga sana ndio anakuwa world class ...chanangamoto ikaja kwamba sio kila nafasi uwanjani inamtaka mchezaji kufunga kuna sehem kama kipa na mabeki huwa hawana nafasi kubwa sana ya kufunga na sio majukumu yao wanapokuwa uwanjanj lakini huwa wanazitendea haki sana nafasi zao watu kama Boateng ,Sergio busquet watu kama hao ambao hawafungi lakini mabeki visiki na viungo wa kiwango cha juu kabisa unaachaje Kuwaita kwenye kikosi chako lakini hawafungi kwahiyo kigezo cha magoli kinafeli.
Pia wanasema awe na consistance ya ubora kwa misimu isiyo pungua mitatu. Hapa kuna changa moto pia kwa kusema hivyo kwahiyo mo salah, Anthony martial na wengine ambao wameproov msimu huu uwezo wao si world class na hii si kweli kwamba mo salah sio world class player kwa sababu anakila kitu ja anauwezo huna haja ya kusuvuri miaka mitatu wakati mmoja umetosha kuona kila kitu.
Bado kuna wanao amin kwamba mchezaji ili awe word class player unatakiwa kuwa anacheza vilabu vikubwa duniani yani vilabu kama real Madrid ,Manchester united, Liverpool ,Barcelona na kadhalika kitu ambacho pia hakuna usawa kabisa huwezi kusema mtu kama dimitr Payet sio world class player au useme harry Kane sio world class player pia kuu aminisha uma kwamba Nzonzi sio world class player ni ngumu sana na kama ni hivyo ndo kumaanisha Africa hakuna alie fuzu kuitwa world class player?
Bado kuna wananaosema kwamba kuwa word class mchezaji lazima awe ameshinda makombe..kwa ngazi ya club au Taifa ..sawa hii inaclick kwa asilimia Fulani lakini kwa kiasi kikubwa si kweli kwa sababu kuna watu ni Balaa wanakila kitu lakini hawajachukua kombe lolote kuanzia club mpaka taifa na wanajulikana wa kwanza Harry Kane wapo wakina dele Ali pia ambao wanauwezo na bila kupepesa macho ni world class player lakini hawana hata medali ya chuma
Sasa je kigezo kikuu cha kumpa cheo mchezaji awe world class player ni kipi? Na ni kina nani wanawapa hiki cheo?
Mwanaspotiapp on playstore.