Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari wanaJF,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Ninatafuta wanafunzi ishirini ambao nitawafanyia training na mentorship katika eneo la web design and development. Unaweza uwe ni mwanafunzi wa chuo, mfanyakazi, au hobbyst ambaye ana interest ya web design. Kwa kutumia WordPress as a platform. Na sio tu kujua jinsi ya kutumia WordPress, lakini kuimaster hadi intermediate level kwa ajili ya kujiajiri as a digital worker.
Package yangu itakuwa na mambo yafuatayo:

- Tools muhimu utakazozitumia kuinstall, kutest na kudeploy website either kwenye computer offline (localhost) au mtandaoni. Hii ni pamoja na git versioning,backup and revovery.
- Site planning: Kila jengo zuri lina ramani, vilevile kila website/web app nzuri ina ramani yake pia. Ntakuonyesha jinsi ya kutengeneza screen mockups, information flow kutoka page moja hadi nyingine ili kuokoa muda unapomjengea mteja website.
- Site speed and security: Nitakusaidia kujua jinsi ya kufanya website yako iwe salama, na pia iwe na kasi nzuri mtandaoni.
- Premium themes na plugins: Nina toolbox yangu fulani ambayo nimeijenga kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Ntakupa access ya vilivyomo, na kukuonyesha combination sahihi kwa ajili ya site yako unayotaka kuijenga.
- Online portfolio: Ntakusaidia kujenga online portfolio kwa ajili ya kuonyesha kazi zako kwa wateja watakaokuwa wanakutafuta, na kukupa templates mbalimbali kwa ajili ya kuapply kazi na gigs, endapo utazihitaji. Nitakusaidia pia kusetup live domain ambayo utatumia kwa ajili ya kuhost kazi zako na kuzipresent kwa wateja mbalimbali.
- Live projects: Nitatumia mtandao wangu kukusaidia kupata live projects ambazo endapo utazimaliza, zitakupa mwanya mzuri wa kuonyesha uwezo wako kwa wale watakaouhitaji