Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Sasa utamuona au kumskia wapi kama wewe ni mwanaume?.... kama ni mwanamke tutaelewa ukisema hujasikia wala kuona.
Hehehe hii kali sasa tunako elekea siko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utamuona au kumskia wapi kama wewe ni mwanaume?.... kama ni mwanamke tutaelewa ukisema hujasikia wala kuona.
hiyo mhhhh mhh kwann bubu?ata bubu anatoa sauti sana tu sembuse ww!
Inabidi tujue umri wako kwanza yawezekana bado mtoto mdogo weye umerukia tu michezo ya kikubwa
Ha ha ha, uliwahi kuwa na mpenzi bubu? sasa ulijuwaje?
Ha ha ha, uliwahi kuwa na mpenzi bubu? sasa ulijuwaje?
hii Topic jamani naomba nisichangie Pearl natoka kidogo baadae 😉
HEHEHEHE!hii Topic jamani naomba nisichangie Pearl natoka kidogo baadae 😉
42 yrs
Inabidi tujue umri wako kwanza yawezekana bado mtoto mdogo weye umerukia tu michezo ya kikubwa
Kumbe bibi kha!
.....he!heheheee...hommy hapa kazi unayo!
BWT: huyu si ana dili la Chawote huyu? hapo simple ukitaka akuelewe, mplekee order ya vyuku 500 hivi!
.....he!heheheee...hommy hapa kazi unayo!
BWT: huyu si ana dili la Chawote huyu? hapo simple ukitaka akuelewe, mplekee order ya vyuku 500 hivi!
hahaha nimeifungua tu eti nikafikiria perfomance 😉y usichangie?ok dear so huji salenda?
hahahaha!hahaha nimeifungua tu eti nikafikiria perfomance 😉
hahaha nimeifungua tu eti nikafikiria perfomance 😉
kwenye ile sichuesheni samtaimu hata bubu anaongea, tena usishangae ukaonna bubu wa kiswahili akaongea kiingereza wakti ule wa kuleta kizazi nje ya mwili wa kidume.Ha ha ha, uliwahi kuwa na mpenzi bubu? sasa ulijuwaje?
hehehehe!kwenye ile sichuesheni samtaimu hata bubu anaongea, tena usishangae ukaonna bubu wa kiswahili akaongea kiingereza wakti ule wa kuleta kizazi nje ya mwili wa kidume.