KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Woww thank youTatizo limeanzia hapa! Inaonesha huo u-supervisor umejipachika mwenyewe kwa vile tu unalipwa mshahara mkubwa kuliko wao. Lakini wao wana experience kubwa kuliko wewe (hasa hao wazee). Sasa ukilinganisha na experience yao wanakuona si chochote. Cha kufanya ishinikize management (kwa kujadiliana na mkurugenzi) iweke kwenye mwandishi kwamba wewe ndiye supervisor wa hiyo timu. Na ukishapewa maandishi weka msimamo, usirogwe hata siku moja kulalamika kwao kwamba labda wanakufanyia hivyo kwa vile wewe ni mwanamke au binti! Simamia misingi ya utumishi na hakikisha kila mtu anatimiza wajibu wake, huyo anayewahi kuondoka kabla ya muda mwambie ukweli kwa onyo la mdomo, akirudia mtwange barua ya onyo na copy kwa management! Mbona watarudi wenyewe, endelea kucheka na nyani utavuna mabua!
You read my mind
Ht km ingekua mim ngemchukulia poa
Boss gani hatuambiwi!?