Hawa watu wa kada za afya wanafanya kazi muda mrefu mno 24/7 na wanahudumia wagonjwa wengi sana ndio maana wanachoka sana mwisho wa siku huduma inakuwa chini ya kiwango
Hivyo serikali wawapunguzie idadi ya kuhudumia wagonjwa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa wasiozidi 20 kwa siku then asign out aje mwingine.
Pia hii itampa hata muda kuchakarika kwingine maana pesa wanazolipwa ni ndogo kulinganisha na masaa wanayofanya kazi.