CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mkuu hebu iweke vizuri inagoma kufunguka kwenye simu.
Asante na ubarikiwe kwa moyo wako huo
Hawa ni kuku wa nyamba au mayai. Kama ni wanyamba siku 56 (wiki nane) ni nyingi mno, mradi utaenda kwa hasara. Maximum ni 35 days (wiki tano tu) kitu sokoni.