Working sheet kwa wafugaji wa kuku

Working sheet kwa wafugaji wa kuku

Mkuu hebu iweke vizuri inagoma kufunguka kwenye simu.
 
Hawa ni kuku wa nyamba au mayai. Kama ni wanyamba siku 56 (wiki nane) ni nyingi mno, mradi utaenda kwa hasara. Maximum ni 35 days (wiki tano tu) kitu sokoni.
 
Back
Top Bottom