World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

Latest reports ni kwamba tupo middle income na ninyi ndio mafukara ya mwisho kwenye hilo group 🤣🤣🤣
Niletee recent report that says there are less than 28 million people living in extreme poverty in Tanzania
 
Over 40% could be 40.1% or 41% as it could as well be 99% or even 100%. All those are over 40%. Mbona mnakuwanga wajinga hivi by the way? Umenikumbusha kilaza mwenzako jana who maintained that 40% ukiround off inakuja 50%. Where did you people go to school?

Hata hiyo 50% that you desperately want it to be hujachukua muda wako na ujue ni watu kiasi gani. 50% of Kenyans is 26 million people. This still falls short of 28 million people who live in extreme poverty in Tanzania. Msiforce tufanane tafadhali
Hiyo itabaki kelele if you can't provide a link to that report. Jifariji nayo kwa sasa
Kinyonge sana

More than new 5 million Kenyans are into poverty after covid

Niletee recent report that says there are less than 28 million people living in extreme poverty in Tanzania
Hii hapa

Screenshot_20210426-135624.png
 
That report is just six months old. Ni ya October 2020
Tujadiri the latest now, the one you are talking about is the old one, the latest says, "Things in Kenya are worse" Now with Corona, they are more worse; Remember Tanzania hatukufunga mipaka, hatukua na lock down so viwanda vya beer, sigara, biashara za guest house, usafiri etc zote zilikua kwenye pick, kilimo as well hakuna ambacho kilifungwa Tanzania, but you guys kuna baadhi ya biashara automatic zilijikuta zipo down becaus eof lock down, you dont need a university degree to understand that, otherwise unaleta debate za shuleni
 
Over 40% could be 40.1% or 41% as it could as well be 99% or even 100%. All those are over 40%. Mbona mnakuwanga wajinga hivi by the way? Umenikumbusha kilaza mwenzako jana who maintained that 40% ukiround off inakuja 50%. Where did you people go to school?

Hata hiyo 50% that you desperately want it to be hujachukua muda wako na ujue ni watu kiasi gani. 50% of Kenyans is 26 million people. This still falls short of 28 million people who live in extreme poverty in Tanzania. Msiforce tufanane tafadhali
Only 12 million people in Tanzania, live in what can be described as extreme poverty... Na hamna mtanzania anayekufa kwa njaa.
 
Leta basi hiyo "latest" kutoka World Bank tuijadili. Yaonekana hiyo iliyoleta which is only six months old sio latest. I am open to any sober discussion. Tuache kutumia hisia kwenye hizi mijadala and let's stick with the truth.
 
Only 12 million people in Tanzania, live in what can be described as extreme poverty... Na hamna mtanzania anayekufa kwa njaa.
Kwa hivyo wewe hapo Gongo la Mboto unajua zaidi kuliko World Bank? Niletee taarifa ya World Bank ama 7IMF inayosemasema idadi ya walalahoi Tanzania imepungua Kutoka 28 million people in October 2020 hadi 12 million people in April 2021. Tusiwe tunatoa tu maneno kwenye akili zetu ili tu kuendeleza hoja. Hapa tunatumia evidence
 
Kwa hivyo wewe hapo Gongo la Mboto unajua zaidi kuliko World Bank? Niletee taarifa ya World Bank ama IMF inayosemasema idadi ya walalahoi Tanzania imepungua Kutoka 28 million people in October 2020 hadi 12 million people in April 2021. Tusiwe tunatoa tu maneno kwenye akili zetu ili tu kuendeleza hoja. Hapa tunatumia evidence
Usifananishe gongo la mboto na uchafu wa kibera .
Telling the truth is not a crime
JamiiForums-1870093707.jpg
 
Over 40% could be 40.1% or 41% as it could as well be 99% or even 100%. All those are over 40%. Mbona mnakuwanga wajinga hivi by the way? Umenikumbusha kilaza mwenzako jana who maintained that 40% ukiround off inakuja 50%. Where did you people go to school?

Hata hiyo 50% that you desperately want it to be hujachukua muda wako na ujue ni watu kiasi gani. 50% of Kenyans is 26 million people. This still falls short of 28 million people who live in extreme poverty in Tanzania. Msiforce tufanane tafadhali
Kuelimisha mitanzania ni Kama kukata mti mbao kwa wembe., balaa, akili zao ziliganda zamani kutokana na propaganda😂😂😂, angalia vile jamaa ni nduazi kishenzi😂😂😂., Hapa ni CONTROL, IGNORE, DELETE!.,😂
 
I give up on them
 
Kuna haja ya kuingia front kupigana kwa ajili ya kuwakomboa ndugu zetu wakenya wanakufa kwa ufukara huku ardhi ikiwa imeshikwa na wachache tu' Hawa ni MAFUKARA hata wa kuwaza hawawezi kujua hali yao ila sisi tunaowaona tutadaiwa kwa kutowasaidia
 
Saidia hawa wenzako kwanza kisha ujisaidie
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Back
Top Bottom