World Bank cancels LDC Tanzania missions over safety concerns and human rights violations

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
World Bank has joined in the fray of international organisations condemning Tanzania over human rights violations and recent attacks on journalists and homosexuals. The international financial body has suspended all its visiting missions to the country.
ALSO READ: Tanzania frees detained journalists In an advisory dated November 7 that is posted on its website, it cites violations of human rights for the decision
The clamp down on homosexuality in Tanzanian began when President John Magufuli took office in 2015. Any person who is found to have "carnal knowledge of any person against the order of nature" is to spend 30 years or more in jail.
In 2016, his government barred non-governmental organizations (NGOs) distributing lube to the homosexuals. Free lube was initially given to the group to control the spread of HIV/AIDS. In 2017, a group of 12 men were arrested in Dar es Salaam after they were suspected of engaging in activities that encouraged same-sex unions. Amnesty International came to the defence of the group.
"It is puzzling that if men are found sitting in pairs they are automatically suspected of engaging in homosexual activities.
The police have no evidence against these men and therefore have no right to file charges against them," East Africa's Amnesty International Deputy Director Seif Magango said at the time.
It is however, the October 31 remarks by Tanzanian governor Paul Makonda that has reignited the criticism by the international community. Makonda called for the creation of a surveillance unit to hunt down homosexuals throughout the country.
Read more at:
Unsafe place? World Bank cancels missions to Tanzania
 
Hii sasa ni hatari, yaani licha ya serikali kujitetea kwa nguvu zote na kumkana Makonda lakini kichapo bado kinaendelea, hawa wazungu wakikuelekeza kurunzi yaani sharti ukubali kukaa, hapa sioni kingine itabidi tu Makonda asurubishwe ndio wapone hawa. Tatizo lao ni ubabe ubabe kwa kila kitu, uongozi wa kibabe na visasi utakushinda, mambo mengine yafanye kimya kimya, mabwabwa unayakandamiza chini kwa chini sio kwa kiherehere ilhali wewe maskini bado unategemea hela zao.
 
Jamaa tayari kashalewa mamlaka ndio unamwona na kiherehere cha kipumbavu eti mbabadume na bulldozer....Ni hatari sana maana serikali za nchi za nje kwa mujibu wa United Nations zinaweza zikaanzisha sanctions kali na jinsi jamaa alivyo na kichwa kigumu, watz wataumia sana...yaani tz pole pole inageuka na kuwa kama North korea, Saudi Arabia na kadhalika...ukandamizaji wa wanahabari, wananchi na waimbaji pamoja na extrajudicial killings sasa imekuwa ni jambo la kawaida
 
Hata marekani walitunyima fedha ya REA ila tulisonga mbele na mradi
 
Jamaa tayari kashalewa mamlaka ndio unamwona na kiherehere cha kipumbavu eti mbabadume....Ni hatari sana maana serikali za nchi za nje kwa mujibu wa United Nations zinaweza zikaanzisha sanctions kali na jinsi jamaa alivyo na kichwa kigumu, watz wataumia sana...yaani tz pole pole inageuka na kuwa kama North korea, Saudi Arabia na kadhalika...ukandamizaji wa wanahabari, wananchi na waimbaji pamoja na extrajudicial killings sasa imekuwa ni jambo la kawaida

Korea Kaskazini wao nafuu maana wana viwanda vyao vya ndani, hawa wenzetu hadi sindano wanaagiza, yaani mzungu akipiga chafya wanajamba.....
 
😀😀😀😀mpaka sindano wanaagiza..niliskia mpaka pipi wanaagiza toka Kenya hawa jamaa....anyway inafaa waelewe kuwa "no man is an island" maanake hakuna nchi inayoweza kunufaika bila kushirikiana na nchi zingine..hii kiherehere ya ubulldozer naona tayari imeshaanza kufeli..ilikuwa tu nzuri wakati ambapo serikali ilikuwa inajikita kupambana na ufisadi..ila sasa naona iki backfire vibaya sana maana baada ya sanctions, sekta kuu za biashara mfano utalii zitaanguka zote wabaki wameduwaa...mfano kule Philippines rais Duterte tayari amegeuka na kuwa Hitler...
 
Tutaishi kama karne ya18 . Inamaana ofisini kwao huwa wanafanya hayo hadi waogope?
 
😀😀😀😀mpaka sindano wanaagiza..niliskia mpaka pipi wanaagiza toka Kenya hawa jamaa....anyway inafaa waelewe kuwa "no man is an island" maanake hakuna nchi inayoweza kunufaika bila kushirikiana na nchi zingine..hii kiherehere ya ubulldozer naona tayari imeshaanza kufeli..ilikuwa tu nzuri wakati ambapo serikali ilikuwa inajikita kupambana na ufisadi..ila sasa naona iki backfire vibaya sana maana baada ya sanctions, sekta kuu za biashara mfano utalii zitaanguka zote wabaki wameduwaa...mfano kule Philippines rais Duterte tayari amegeuka na kuwa Hitler...
Nyie wajinga kweli munatuma vijasusi vyenu uchwara munategemea tusijue. Watu wameangia kama watalii ghafla wanataka kuanza kazi ya uandishi bila kibali cha kazi munataka wasichughulikiwe. Majirani muelewe Tanzania ni kubwa kwenye ulinzi na usalama.
 
hakuna ulinzi hapo....ni ujinga tu wa kumwabudu sijui rais kama Mungu....mnamwabudu wote kama kondoo na kila anachokisema mnatii bila maswali...asiyetii anapigwa risasi au anatokomea asijulikane aliko...au ile habari ya Lissu, na diwani aliyechinjwa kwa panga pamoja na wanahabari na waimbaji waliokamatwa pia ni ulinzi? wewe usituone wajinga buwana...ni nani hajui kwamba wanahabari tz wamo hatarini
 
hakuna ulinzi hapo....ni ujinga tu wa kumwabudu sijui rais kama Mungu....mnamwabudu wote kama kondoo na kila anachokisema mnatii bila maswali...asiyetii anapigwa risasi au anatokomea asijulikane aliko...au ile habari ya Lissu, diwani aliyechinjwa kwa panga na wanahabari na waimbaji waliokamatwa pia ni ulinzi?
Ngoja tumwabudu maana anaipigania nchi yetu. Nyie hangaikeni Uhuru aliyeifanya nchi yenu kuwa failed state. Siku nyingine mukituma wengine tunafyekelea mbali kimya kimya. Tunasikia kuna wengine kumi mumewatuma kama walimu wa primary, siku wakiingia kwenye anga hawatarudi Kenya.
 
hivi unajua maana ya failed state wewe kima au unataja tu maana uliskia mahali?😀😀😀anyway, kondoo wajinga huwa hawawezi kusaidika...watamfata kiongozi tu mpaka watumbukie kwenye shimo...ndivyo mlivyo nyie mabongolala...billionaire, madiwani, opposition leaders wanatokomea mchana peupe, sembuse maskini wa manzese kama ww?
 
Hii sasa ni hatari, yaani licha ya serikali kujitetea kwa nguvu zote na kumkana Makonda lakini kichapo bado kinaendelea, hawa wazungu wakikuelekeza kurunzi yaani sharti ukubali kukaa, hapa sioni kingine itabidi tu Makonda asurubishwe ndio wapone hawa. Tatizo lao ni ubabe ubabe kwa kila kitu, uongozi wa kibabe na visasi utakushinda, mambo mengine yafanye kimya kimya, mabwabwa unayakandamiza chini kwa chini sio kwa kiherehere ilhali wewe maskini bado unategemea hela zao.
USISEME MAKONDA SEMA DAUDI ALBERT BASHITE,KAFOJI JINA,HE IS A DISGRACE ILA HUYO HATA AKIUA MCHANA IN A BROAD DAY LIGHT ATAAMBIWA ACHANA NAO WE CHAPA KAZI,WE ARE DOOMED,WASUKUMA WASHAMBA WAMETUINGIZA CHAKA,KWISHA KAZIIII MASKINI TANZANIA
 
hivi unajua maana ya failed state wewe kima au unataja tu maana uliskia mahali?😀😀😀anyway, kondoo wajinga huwa hawawezi kusaidika...watamfata kiongozi tu mpaka watumbukie kwenye shimo...ndivyo mlivyo nyie mabongolala
Wewe siyo wa kutuelekeza sisi Tanzania nini cha kufanya. Elewa tunajua tunachokifanya. Hustle zetu kama taifa na viongozi wetu tunajua tunakoelekea.Nyie endeleeni kutuma hivyo vijasusi, ipo siku tutavisagasaga kama mahindi.
 
World Bank has joined in the fray of international organisations condemning Tanzania over human rights violations and recent attacks on journalists and homosexuals. The international financial body has suspended all its visiting missions to the country.
ALSO READ: Tanzania frees detained journalists In an advisory dated November 7 that is posted on its website, it cites violations of human rights for the decision
The clamp down on homosexuality in Tanzanian began when President John Magufuli took office in 2015. Any person who is found to have "carnal knowledge of any person against the order of nature" is to spend 30 years or more in jail.
In 2016, his government barred non-governmental organizations (NGOs) distributing lube to the homosexuals. Free lube was initially given to the group to control the spread of HIV/AIDS. In 2017, a group of 12 men were arrested in Dar es Salaam after they were suspected of engaging in activities that encouraged same-sex unions. Amnesty International came to the defence of the group.
"It is puzzling that if men are found sitting in pairs they are automatically suspected of engaging in homosexual activities.
The police have no evidence against these men and therefore have no right to file charges against them," East Africa's Amnesty International Deputy Director Seif Magango said at the time.
It is however, the October 31 remarks by Tanzanian governor Paul Makonda that has reignited the criticism by the international community. Makonda called for the creation of a surveillance unit to hunt down homosexuals throughout the country.
Read more at:
Unsafe place? World Bank cancels missions to Tanzania
Nyinyi ni masikini na mnajipiga kifua eti mnaweza pambana na dunia. Masikini hana haki. Budget yenu zaidi ya asilimia ishirini inalipiwa na hao wazungu mnaowapigia kifua.Akina world bank na E.U ndio wanaowasaidia msiweze kuwa fourth world country. Mtakuwa zaidi ya shit-hole.
 
Korea Kaskazini wao nafuu maana wana viwanda vyao vya ndani, hawa wenzetu hadi sindano wanaagiza, yaani mzungu akipiga chafya wanajamba.....

Tooth picks, huangizwa kutoka China, viberiti, baada ya wanafunzi wa Mwl Nyerere kuua viwanda vyote na kugawa mashirika ya umma yote( mfano National Bank of Commerce kwa Makaburu, Breweries - South Africa, Telecoms - Waarabu wa Sudan & Middle East, Railways - kwa wahindi India, na kadhalika) wakabakiza kitu kama Posta kwa sababu waswahili wanaweza tu kubeba mizigo na barua!)Mashamba ya mikonge - Wahindi -jamaa wakachukulia naye mikopo wakaenda kujenga Canada! na mengine mengi. Yote yalitokea baada ya wanafunzi hao kuzika azimio la Arusha kule Zenj!
 
Back
Top Bottom