Usitufanye kuwa sisi ni wajinga. Tumesha soma vyakutosha👇👇👇👇👇Soma bandiko la WB...kma hujui kizungu usinichoshe mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitufanye kuwa sisi ni wajinga. Tumesha soma vyakutosha👇👇👇👇👇Soma bandiko la WB...kma hujui kizungu usinichoshe mie
Not in Tanzania. Hiyo haitokuja tokea kamwe.Kiherehere na ubabe vinataka akina Putni, Erdogan, Kim Jong-un na Ahmedinejad. LDC kuwa mpole. Sit down, be humble.
Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.
Na ao wanaotaja wenzao kuwa ni mashoga ndyo umeona ni wasafi?Utoro shuleni hata babu yako alitoroka,utaukalia kimya kwa mwanao sababu utoro una umri kukuzidi!!!!!
WB ni watu tu,hawawezi kuwa wakaguzi wa maisha yetu mpaka kutuamulia nini cha kufanya.though hawana sifa hiyo maana ni wachafu na waovu sana,ila wanafurahi maana kuna wajinga wanawaamini kama wewe.
Kiherehere na ubabe vinataka akina Putni, Erdogan, Kim Jong-un na Ahmedinejad. LDC kuwa mpole. Sit down, be humble.
Tumesha jua kuwa huna malinda..Na ao wanaotaja wenzao kuwa ni mashoga ndyo umeona ni wasafi?
Kujipendekeza ni hulka ya mtoto wa kike sio sifa ya mwanaume.
Huo upole wa kijinga na kujipendekeza tuliwaachia majirani kenya na maraisi wao,sie tokea enzi za nyerere hatujawahi kucheka na wapuuzi.
Na ao wanaotaja wenzao kuwa ni mashoga ndyo umeona ni wasafi?
Kuna tofauti ya kujipendekeza na kujijua. Wee mwenyewe budget yako unategemea mzungu alafu bado unataka kujitunisha misuli na kuonyesha ubabe usiofaa wala usio na faida halafu baadaye unaishia kuabishwa na kuomba msamaha. Ndio maana nakwambia sit down and be humble.
Actually, you guys get more aid than us so you're right. Usijifananishe na Kenya.Acha ujinga nuggu ,nategemea mzungu kwenye bajet!!!!!umenifananisha na kenya??
Actually, you guys get more aid than us so you're right. Usijifananishe na Kenya.
Mbona unaniita, unaniotaa? [emoji23]
Utajisumbua sana na hawa vilaza ambao hawaifahamu nchi yao na misaada mikubwa wanayopokea kutoka kwa mashirika kama World Bank.Actually, you guys get more aid than us so you're right. Usijifananishe na Kenya.
walikuwa ni maspy wa wapNyie wajinga kweli munatuma vijasusi vyenu uchwara munategemea tusijue. Watu wameangia kama watalii ghafla wanataka kuanza kazi ya uandishi bila kibali cha kazi munataka wasichughulikiwe. Majirani muelewe Tanzania ni kubwa kwenye ulinzi na usalama.
Stop speaking out of ignorance. Have your facts right before you post. Tanzania has the largest percentage budget deficit in East Africa.Which aid kijana???unadhani tunapowaletea kiburi hatujui tunachofanya!!!tumeshajua hawatusumbui ndio maana tunafanya tunavyotaka.
Sasa kenya mpaka vita ya funza mnataka wazungu wawasaidie,wakati nyinyi ni DC ndio maana wakijinyoosha tu mmeshainama mbele yao.
True.Utajisumbua sana na hawa vilaza ambao hawaifahamu nchi yao na misaada mikubwa wanayopokea kutoka kwa mashirika kama World Bank.
Stop speaking out of ignorance. Have your facts right before you post. Tanzania has the largest percentage budget deficit in East Africa.
EAC big economies to borrow $12b to plug deficits
Utajisumbua sana na hawa vilaza ambao hawaifahamu nchi yao na misaada mikubwa wanayopokea kutoka kwa mashirika kama World Bank.
Sawasawa bana, raia kutoka donor country.Sasa mafi ya kwamba tunasaidiwa kuwazidi ulitoa wapi???kukopa kila nchi inakopa,
Ila kaa ukijua kenya imeshindwa kukopesheka,sasa inauza bandari kuendesha bajeti.