World Bank cancels LDC Tanzania missions over safety concerns and human rights violations

Kiherehere na ubabe vinataka akina Putni, Erdogan, Kim Jong-un na Ahmedinejad. LDC kuwa mpole. Sit down, be humble.
 
Umezaliwa ushoga umeukuta upo tu. Na hautaweza ukemea wala umaliza hata siku moja. Mambo mengne ni kututoa nje ya reli. WB wamezungumzia mambo menginzaid ya ushoga.

Utoro shuleni hata babu yako alitoroka,utaukalia kimya kwa mwanao sababu utoro una umri kukuzidi!!!!!

WB ni watu tu,hawawezi kuwa wakaguzi wa maisha yetu mpaka kutuamulia nini cha kufanya.though hawana sifa hiyo maana ni wachafu na waovu sana,ila wanafurahi maana kuna wajinga wanawaamini kama wewe.
 
Na ao wanaotaja wenzao kuwa ni mashoga ndyo umeona ni wasafi?
 
Kiherehere na ubabe vinataka akina Putni, Erdogan, Kim Jong-un na Ahmedinejad. LDC kuwa mpole. Sit down, be humble.

Kujipendekeza ni hulka ya mtoto wa kike sio sifa ya mwanaume.

Huo upole wa kijinga na kujipendekeza tuliwaachia majirani kenya na maraisi wao,sie tokea enzi za nyerere hatujawahi kucheka na wapuuzi.
 
Kujipendekeza ni hulka ya mtoto wa kike sio sifa ya mwanaume.

Huo upole wa kijinga na kujipendekeza tuliwaachia majirani kenya na maraisi wao,sie tokea enzi za nyerere hatujawahi kucheka na wapuuzi.

Kuna tofauti ya kujipendekeza na kujijua. Wee mwenyewe budget yako unategemea mzungu alafu bado unataka kujitunisha misuli na kuonyesha ubabe usiofaa wala usio na faida halafu baadaye unaishia kuabishwa na kuomba msamaha. Ndio maana nakwambia sit down and be humble.
 

Acha ujinga nuggu ,nategemea mzungu kwenye bajet!!!!!umenifananisha na kenya??
 
Actually, you guys get more aid than us so you're right. Usijifananishe na Kenya.

Which aid kijana???unadhani tunapowaletea kiburi hatujui tunachofanya!!!tumeshajua hawatusumbui ndio maana tunafanya tunavyotaka.

Sasa kenya mpaka vita ya funza mnataka wazungu wawasaidie,wakati nyinyi ni DC ndio maana wakijinyoosha tu mmeshainama mbele yao.
 
Nyie wajinga kweli munatuma vijasusi vyenu uchwara munategemea tusijue. Watu wameangia kama watalii ghafla wanataka kuanza kazi ya uandishi bila kibali cha kazi munataka wasichughulikiwe. Majirani muelewe Tanzania ni kubwa kwenye ulinzi na usalama.
walikuwa ni maspy wa wap
 
Stop speaking out of ignorance. Have your facts right before you post. Tanzania has the largest percentage budget deficit in East Africa.
EAC big economies to borrow $12b to plug deficits
 
Utajisumbua sana na hawa vilaza ambao hawaifahamu nchi yao na misaada mikubwa wanayopokea kutoka kwa mashirika kama World Bank.

Msaada gani heavilly headed Nuggu???juzi tumezika 900tsh bln kutoka WB,huko sababu walileta mkwara mbuzi,tungekuwa tunategemea hiyo misaada tungetetemeka.

Wewe kaa pambania nchi yako kenya isiuzwe.
 
Sasa mafi ya kwamba tunasaidiwa kuwazidi ulitoa wapi???kukopa kila nchi inakopa,

Ila kaa ukijua kenya imeshindwa kukopesheka,sasa inauza bandari kuendesha bajeti.
Sawasawa bana, raia kutoka donor country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ