World bank forecasts Tanzania as the third fastest growing economy in Africa next year

World bank forecasts Tanzania as the third fastest growing economy in Africa next year

A country tbag devours Albinos has never fed Kenya. That should be very clear in your ujamaa head

Shida ya makali ya ofa hiyo, unaongea pumba tu leo.
 
All are but unfounded, empty but glittering facts..... How do we interpret the GDP in relation to the common mwananchi!!!!
 
Exactly! Kwanza nimependa sana hiyo metaphor umetumia hapo kucompare ukuaji wa binadam na uchumi. Imeingiliana vizuri.

Uchumi changa, given the right conditions, hukua kwa haraka sana kuliko zile zilizokomas.

I'm just watching what point you try to make.
 
Exactly! Kwanza nimependa sana hiyo metaphor umetumia hapo kucompare ukuaji wa binadam na uchumi. Imeingiliana vizuri.

Uchumi changa, given the right conditions, hukua kwa haraka sana kuliko zile zilizokomas.
Lakini Kenya ni lower middle income a reason bado mnaomba misaada.
 
Tangu kipindi cha JK tulikuwa tunasikia hayo maneno lakini hakuna kipya chochote kile kwa wananchi wa kawaida. Uchumi kama upo vizuri lazima athari zake zitaonekana tu kwa macho, hata kama wakisema unakua wa 20% and hakuna athari kwa wananchi basi hizo report kwetu hazina maana yeyote.
 
Lakini Kenya ni lower middle income a reason bado mnaomba misaada.
Kenya is still a developing country. All countries in Africa recieve aid, for some reasons.

Mambo ya misaada na Kenya imeingiaje kwa hii topic btw?
 
Back
Top Bottom