hapa sasa tuko kwenye ukurasa mmoja, isipokuwa watangulizi wa Magufuli hawakuwahi kupigia chapuo watu kuzaana. ndiyo maana chini ya JK umasikini ulikuwa unapungua kuliko sasa!Yea ni kweli, kwangu mimi Magufuli (na watangulizi wake) amekosea hapo, huwezi kupunguza umaskini bila ya kudhibiti ongezeko la watu bila ya mpangilio, huo ukuaji wa uchumi hautakuwa na maana yoyote kama kila mwaname ana watoto 5.2 kwa wastani wakati kipato hakuna, ...
1. RunyagaMkuu unaweza kuwataja kwa majina hao walioongezeka??
hapa sasa tuko kwenye ukurasa mmoja, isipokuwa watangulizi wa Magufuli hawakuwahi kupigia chapuo watu kuzaana. ndiyo maana chini ya JK umasikini ulikuwa unapungua kuliko sasa!
Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.
Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.
Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni kwamba awamu ya 5 imekuwa ikizalisha Watanzania masikini badala ya kupunguza ambayo ni kinyume kabisa na trend ambayo awamu ya 4 ilikuwa inaenda nayo.
Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kama nchi chini ya awamu hii ni kama tunatwanga maji kwenye kinu.
Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi yenye tija October mwaka huu.
Tanzania - Mainland Poverty Assessment 2019 : Part 1 : Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
This report provides a comprehensive analysis of poverty and inequality in Tanzania and identifies some priority actions if poverty is to be reduced. The analysis is contained in two parts.
The first part is based on the results of the Household Budget Surveys (HBSs) for 2017-18, 2007, and 2011-12; several rounds of National Panel Surveys (NPSs); and Demographic Health Survey (DHS) data; it also combines spatial information from the population census and other sources with HBS data to (1) provide a rigorous analysis of the evolution, profile, and determinants of poverty and inequality; (2) explore movements in and out of poverty and their drivers; and (3) examine the distribution of poverty and living conditions across the country at a detailed geographic level.
The second part examines the pattern of structural transformation, firm profiles, job creation, and financial inclusion using the rebased GDP figures released in February 2019 plus data from the Statistical Business Register (SBR), Census of Industrial Production (CIP), national accounts, NPS, Integrated Labor Force Surveys (ILFS), and other sources. Executive summary can be found here 431111575939381087/executive-summary
View attachment 1503509
Ni wapi ulijifunza kwamba watu wakiongezeka umasikini unaongezeka? Inawezekana ccm ikawa ni tanuli la kupunguza akili za watu hebu tazama dubwasha kama hili, hakika baadhi ya mabao yangepelekwa chaputa angalau kupunguza idadi ya wapumbavu afu utakuta dude kama hili lipo kwenye maamuzi.Unaujua mlipuko wa ongezeko la watu Tanzania? Bila kuingiza hilo takwimu,hizo takwimu ni hazina maana, kwa kifupi kulikuwa na watu wangapi TZ 2012 vs 2020?
Ni wapi ulijifunza kwamba watu wakiongezeka umasikini unaongezeka? Inawezekana ccm ikawa ni tanuli la kupunguza akili za watu hebu tazama dubwasha kama hili, hakika baadhi ya mabao yangepelekwa chaputa angalau kupunguza idadi ya wapumbavu afu utakuta dude kama hili lipo kwenye maamuzi.
Mkuu unaweza kuwataja kwa majina hao walioongezeka??
Kwani kipindi JK anapunguza idadi ya maskini toka hiyo 2007 hadi 2012 watu walikuwa hawaongezeki?Population toka 2012 mpaka sasa ikoje?
Umasikini umepungua kwa asilimia 24 kuanzia mwaka 2007 - 2018. Hii ni average ya 2.4% kwa mwaka.uu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.
Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.
Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni kwamba awamu ya 5 imekuwa ikizalisha Watanzania masikini badala ya kupunguza ambayo ni kinyume kabisa na trend ambayo awamu ya 4 ilikuwa inaenda nayo.
Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kama nchi chini ya awamu hii ni kama tunatwanga maji kwenye kinu.
Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi yenye tija October mwaka huu.
Tanzania - Mainland Poverty Assessment 2019 : Part 1 : Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
This report provides a comprehensive analysis of poverty and inequality in Tanzania and identifies some priority actions if poverty is to be reduced. The analysis is contained in two parts.
The first part is based on the results of the Household Budget Surveys (HBSs) for 2017-18, 2007, and 2011-12; several rounds of National Panel Surveys (NPSs); and Demographic Health Survey (DHS) data; it also combines spatial information from the population census and other sources with HBS data to (1) provide a rigorous analysis of the evolution, profile, and determinants of poverty and inequality; (2) explore movements in and out of poverty and their drivers; and (3) examine the distribution of poverty and living conditions across the country at a detailed geographic level.
The second part examines the pattern of structural transformation, firm profiles, job creation, and financial inclusion using the rebased GDP figures released in February 2019 plus data from the Statistical Business Register (SBR), Census of Industrial Production (CIP), national accounts, NPS, Integrated Labor Force Surveys (ILFS), and other sources. Executive summary can be found here 431111575939381087/executive-summary
Tupo angalia hapo juu.Kwenye nyuzi kama hizi huwezi kuwaona Lumumba buku 7 f.c .
Swali zuri sanaKwani kipindi JK anapunguza idadi ya maskini toka hiyo 2007 hadi 2012 watu walikuwa hawaongezeki?
hapo ndipo tatizo lipo.2012 hadi 2018 wamezaliwa watu mil ngapi pia? Population sio static.. Hao waliozaliwa masikini ni wengi sana tu, hivyo idadi ya masikini itaongezeka zaidi sbb wengi wamezaliwa na ni masikini.
Hivyo isijengeke dhana kuwa serikali ya CCM ndio imeongeza idadi ya watu kuwa masikini, sababu kubwa 99% ni population growth 2012 - 2018 automatically inafanya idadi ya watu masikini kuongezeka, hiyo 2mil ya watu masikini kuongezeka sbb kubwa 99% ni population growth.
Population imekua kaka.Hawazaliwi matajiri pekee.Hayanihusu ila nimejikuta nacheka hapa kama chizi kwa comment yako, nilikua napita kimya lakini imebidi nikutaarifu tu kwamba umetisha cc: Drone Camera
taarifa uliyoweka umeitoa NBS (ambayo always ipo lop sided kwa vile NBS ni instrument ya watawala).Umasikini umepungua kwa asilimia 24 kuanzia mwaka 2007 - 2018. Hii ni average ya 2.4% kwa mwaka.
Population Tanzania inaongezeka kwa asilimia 3 kwa mwaka.
View attachment 1503562
Kwa hiyo, asilimia ya watu maskini imepungua ingawa idadi imeongezeka. Huo mstari mwekundu ni jinsi asilimia ya watu masikini ilivyopungu na hizo bars ni idadi il
Tupo angalia hapo juu.
Mmoja wao ni wewe ndo maana unataka kujua majina ya wenzako kama ni ya kule ili uone nafasi yako na uwezekano wa uteuzi ujao wa kabla ya uchaguzi. Unauliza swali wakati muafaka maana anayeteua yuko kwenye uteuzi wake mwenyewe wa kugombea uchaguzi ili aongezewe miaka mingine 5 ya kuteua wote wa kule katika nafasi mbalimbali wewe ukipata uDC kwa ujinga wako. Tuliobaki yanayotokea Dodoma ni janga la ongezeko la umasikini mkali zaidi.Mkuu unaweza kuwataja kwa majina hao walioongezeka??
swali ni....jee JK aliwezaje kupunguza idadi ya masikini pamoja na population increase?Siyo kweli vinginevyo Tanzania tusingekuwa karibia milioni 50 leo hii, zingatia kwamba wakati tunapata uhuru mwak 1961 tulikuwa milioni 8 tu, hivyo kwangu mimi hakuna tofauti wote hawakufanya chochote kudhibiti ongezeko la watu bila ya mpangilio, ...
Population imekua kaka.Hawazaliwi matajiri pekee.
Halafu cheki hapa chini๐๐๐
Wanaoishi kwenye umasikini=14M
Jumla idadi ya watu=60M
14/60 ร 100% = 23.33%.
Only 23.33% live in poverty. Kwenu ni 35% hehehe.