World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

Si nyie mlimuita JK ni dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuu, leo mmesahau unaanza kumsifia, au ndio mmeshikwa pabaya na Mh. Magufuli, naona mmepoteana sana, hadi mmeshafanya maongezi na Membe awasaidie kugombea, hali mbaya sana naona huko kwenu
wewe ndiye uliyemwita dhaifu labda kabla hujaunga mkono juhudi!
 
kumbuka aliyechangia pakubwa kufikia pato la kati ni JK ambaye aliyechangia $480B, akifuatiwa kwa mbali na Mkapa aliyechangia $330B... na aliyeshika mkia ni JPM aliyechangia $100B tu.

the borne of contention ni kwamba JK ali perform vizuri zaidi kiuchumi kuliko JPM.
positives nyingi za JK zimekuwa reversed na JPM.

ndiyo maana October tunahitaji kiongozi ambaye walau ata maintain positive trend ya JK at the minimum.
sasa hivi tunarudi kinyumenyume kwa kujificha nyuma ya mizuka ya SGR na Stiegler's Gorge isiyokuwa na impact yoyote kwa Watanzania.


Kwa hiyo hoja yako hasa ni ipi? Je, ni JK vs Magufuli au? Isitoshe liko wapi kama JK na CCM ndiyo walioiingiza TZ yetu middle income economy?
 
wewe ndiye uliyemwita dhaifu labda kabla hujaunga mkono juhudi!

Mimi? eeehhh vipi tena haaa, ukweli mm nilikuwa kundi Lowassa enzi hizo akiwa CCM, ila baada ya kwenda upinzani tulirudi kwa Magufuli 100% na sikuwahi kuwa upinzani hata siku moja, nilikuwa CCM but team Lowassa, baada ya Mh. Lowassa ku depart CCM tulirudi kwa Magufuli kwa moyo wooote, na hadi leo na milele tuko CCM, hatukuunga juhudi, juhudi zimetuka CCM, sisi tuko tunapiga kazi, tuko CCM milele.. Labda unachanganya mafaili.. Ebu retrieve your data vema😂 Magufuli ndio kiongozi wetu 100%..
 
Ongezeko la watu lilikuwepo hata kipindi Cha JK... Pamoja na watu kuongezeka lkn haliweza kupunguza idadi ya watu masikini...



Acha kupotosha wengine kuongezeka kwa mtoto ktk familia sio sababu ya kuongeza idadi ya watu masikini kitaifa... Kama mtu Ni Tajiri na anamiliki wake wanne na ndani ya miaka 2 kapata watoto 4 + 2 wa michepuko... Kwahiyo hao watoto 6 ndio maskini?



Kwahiyo hao watoto waliozaliwa kuanzia 2012 Hadi 2018 wengi Ni maskini au kutoka ktk familia masikini?.... na kufanya idadi ya masikini iongezeke kutoka million 12 hd million 14....


Una pengo kubwa sana kwenye uelewa wa haya mambo na sijui hata nianzie wapi, ...
 
Una pengo kubwa sana kwenye uelewa wa haya mambo na sijui hata nianzie wapi, ...
kuna hizi stats nyingine for your consumption....
20200711_123812.jpg
 
Ukiwa mhariri wa chombo cha habari sasa hivi unajiuliza kama unaweza kuripoti hii. Wakati huo huo umepeleka timu Dodoma kuripoti mapambio, au kama wewe ni clouds media, hata mmiliki anashiriki kwenye kuimba.
 
Kwa hiyo hoja yako hasa ni ipi? Je JK vs Magufuli au?

Awamu hii ya Sasa Ni maendeleo ya vitu na sio watu...
Watu watakamuliwa kupitia Kodi,ushuru,Faini na tozo mablimbali na mapato yanaenda kujenga miradi isiyo na faida kwa haraka...

Watu wawezeshwe mitaji, fursa, kupunguza mfumuko wa Bei na serikali kuongeza mzunguko wa pesa ktk jamii..
 
Umaskini uliongezeka kwa 2m vipi kuhusu population kuongezeka kutoka 2012 hadi 2018
 
Awamu hii ya Sasa Ni maendeleo ya vitu na sio watu...
Watu watakamuliwa kupitia Kodi,ushuru,Faini na tozo mablimbali na mapato yanaenda kujenga miradi isiyo na faida kwa haraka...

Watu wawezeshwe mitaji, fursa, kupunguza mfumuko wa Bei na serikali kuongeza mzunguko wa pesa ktk jamii..


Kuna uchaguzi Oktoba, chagua atayekufanyia hayo, ...
 
Una pengo kubwa sana kwenye uelewa wa haya mambo na sijui hata nianzie wapi, ...

Kataa hoja kwa hoja na mifano... Sio kuanza kunishushia heshima ya uelewa...

Khs kuongezeka idadi hiyo hoja hata WB wamewawekea ili mjitafakari na sababu zingine... Soma #73
 
Umaskini uliongezeka kwa 2m vipi kuhusu population kuongezeka kutoka 2012 hadi 2018
kati ya 2007 na 2012 population iliongezeka sana tu but JK alipunguza idadi ya masikini kwa 1M.
huyu mwingine (mrithi wake) kaja katuongezea masikini 2M!

October tunataka kiongozi anayepunguza umasikini siyo anayeongeza!!
 
And we are here praising and worship kwamba tupo uchumi wa kati

Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.

Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.

Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni kwamba awamu ya 5 imekuwa ikizalisha Watanzania masikini badala ya kupunguza ambayo ni kinyume kabisa na trend ambayo awamu ya 4 ilikuwa inaenda nayo.

Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kama nchi chini ya awamu hii ni kama tunatwanga maji kwenye kinu.

Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi yenye tija October mwaka huu.

Tanzania - Mainland Poverty Assessment 2019 : Part 1 : Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
This report provides a comprehensive analysis of poverty and inequality in Tanzania and identifies some priority actions if poverty is to be reduced. The analysis is contained in two parts.

The first part is based on the results of the Household Budget Surveys (HBSs) for 2017-18, 2007, and 2011-12; several rounds of National Panel Surveys (NPSs); and Demographic Health Survey (DHS) data; it also combines spatial information from the population census and other sources with HBS data to (1) provide a rigorous analysis of the evolution, profile, and determinants of poverty and inequality; (2) explore movements in and out of poverty and their drivers; and (3) examine the distribution of poverty and living conditions across the country at a detailed geographic level.

The second part examines the pattern of structural transformation, firm profiles, job creation, and financial inclusion using the rebased GDP figures released in February 2019 plus data from the Statistical Business Register (SBR), Census of Industrial Production (CIP), national accounts, NPS, Integrated Labor Force Surveys (ILFS), and other sources. Executive summary can be found here 431111575939381087/executive-summary

View attachment 1503509

View attachment 1503630View attachment 1503631
 
Back
Top Bottom