CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
wakenya mnachekesha sana yahani ombaomba wa tz wapo kenya kwa mahana hiyo ombaomba waliopo tz na sisi tuseme ni wakenya? ngoja ni kwambie hao ombaomba unaowaona huko kenya ni wakenya wenzako kabisa sema hua mnajitoa tu akili, yahani aingii akilini mtu atoke kwenye nchi ya maziwa na asali halafu akawe ombaomba kenya, nchi ambayo raia wake wanakufa na njaa na wengine wamefikia hatua ya kupika maweHio Nchi ya Asali na Maziwa ndio Omba Omba wake wamejaa Kenya wakinyoosha bijibakuli😉