wakenya mnachekesha sana yahani ombaomba wa tz wapo kenya kwa mahana hiyo ombaomba waliopo tz na sisi tuseme ni wakenya? ngoja ni kwambie hao ombaomba unaowaona huko kenya ni wakenya wenzako kabisa sema hua mnajitoa tu akili, yahani aingii akilini mtu atoke kwenye nchi ya maziwa na asali halafu akawe ombaomba kenya, nchi ambayo raia wake wanakufa na njaa na wengine wamefikia hatua ya kupika maweHio Nchi ya Asali na Maziwa ndio Omba Omba wake wamejaa Kenya wakinyoosha bijibakuli😉
2019 Novemba ndio ile sgr Dar to Moro ilikuwa ikamilike... What's you point?
Hiyo report ilokupa mshawasha mpaka unafungua thread ingine ni report post corona, report ya 2020. Sasa ww unaleta reports za 2019 kabla ya coronaMumeshindwa kujibu kwa kuleta link ya World Bank, repoti zao ziko wazi kwa mtandao, 2019 tunazijua kabla ya corona., hii yenyu ya uchwara chwara idhibitishe., haipo mahali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ease of doing business East Africa, Rwanda muwaache wapi?[emoji23][emoji23]
Mkuu Naomba link ya WB kuhusu hio report.Hiyo report ilokupa mshawasha mpaka unafungua thread ingine ni report post corona, report ya 2020. Sasa ww unaleta reports za 2019 kabla ya corona
😀 😀 .. i have never seen a better description .... funny n factualHawa kwa sasa waache tu hivyo, kuthubutu kuwasaidia ni kama kujaribu kumsaidia huyu hapa bila kutiwa kucha....
Ok! So Kuna omba omba ndani ya Nchi ya Asali na maziwa 😂😂😂wakenya mnachekesha sana yahani ombaomba wa tz wapo kenya kwa mahana hiyo ombaomba waliopo tz na sisi tuseme ni wakenya? ngoja ni kwambie hao ombaomba unaowaona huko kenya ni wakenya wenzako kabisa sema hua mnajitoa tu akili, yahani aingii akilini mtu atoke kwenye nchi ya maziwa na asali halafu akawe ombaomba kenya, nchi ambayo raia wake wanakufa na njaa na wengine wamefikia hatua ya kupika mawe
Wameandika data ni ya from 2019., who is stupid enough to carry out a research during corona? Not the world bank[emoji23][emoji23]itakua ni CCM as my first suspect musimu wa kura Tz. Biashara gani za maana zilikua zinaendelea wakati wa corona duniani?, unasema ni post corona[emoji23][emoji23][emoji23], Airlines na airports zilikua zimefungwa., Tanzania mna ugonjwa gani jameni?[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo report ilokupa mshawasha mpaka unafungua thread ingine ni report post corona, report ya 2020. Sasa ww unaleta reports za 2019 kabla ya corona
Team domo vs team hapa kazi tuOk! So Kuna omba omba ndani ya Nchi ya Asali na maziwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bro leo umeongea ukweli kabisa 😂😂😂Team domo vs team hapa kazi tu