World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

[emoji3][emoji3][emoji3] wale ambao wanakufurahisha au cyo

Wapo tunabanana kwa hoja mpaka ninaachia nikiona anajenga hoja zake kwa kutumia ubongo, ila kwanza waimba mapambio wa CCM nyote huwa nimewaweka kwenye kapu moja maana akili zenu mlishabebewa, kuna wale hata huwa siwajibu kabisa wala hata kuhangaika kusoma comments zao, unakuta mtu ananiquote mara kumi kwa mpigo na nikiamua nisome alichoandika ni uharo tu mnaoaminishwaga pale Lumumba.

Sema kuna kipindi JF upande wa Kenya hoja zilikua zinanoga kabla hamjaja waimba mapambio, kipindi hicho wengi mlikua kule jukwaa lenu la siasa, humu walikua wanakuja wazalendo Watanzania na Wakenya kila mmoja anajadili hoja kutetea anachokiamini.
Ukitaka kufuata maeneo tunakojadili hoja za kutumia ubongo njoo Quora au pitia huku Nahitaji kufahamu naanzia wapi kufanya programming kwenye lugha ya java na C
 
Back
Top Bottom