World Bank: Umaskini umeongezeka Tanzania

World Bank ina sera za kimaendeleo ambazo zimekuwa hazilengi maendeleo endelevu in teams of population and country empowerment for about 50 yrs now, they maintain stereotype of market and raw material production while giving small loans with high interest. Visible study case is here in Tanzania. Look how South America countries are getting out of this trap; Argentina, Chile, Brazil and Uruguay.

East African countries except Rwanda and Burundi soon after independent all of them start with high optimisms but that was just to build national institution while relay on colonial economy plan. Political immaturity, greed, accountability, etc though are simple human nature which might ease surpassed by education hence knowledge + understating, wisdom (the weapon of formal leaders Nyerere and others). Luck of those things is big failure of technical adaptation towards most challenges especial poverty.

Tanzania doesn't have any long team goal neither plan, if they are there are one adopted like 'Millennial Goal' which again is package which may fit or not.

Apart of persisting poverty and as shown here in statistic, Tanzania is still in the good environment to development and stability in the region. The future Norway (in the tropical :smile-big🙂 Till we attain political maturity which is more or less a process. For Tanzania to turn those numbers to 30 or 20 might be a goal of 15 yrs.
 
Suala la umaskini wa tanzania sidhani kama linahitaji sana vipimo,mimi naamini kwenye SEEING IS BELIEVING kipimo cha rushwa peke yake kinaweza kikatosha kabisa kua nikipimo tosha kwa ushahidi wa macho,tue na malengo mikakati na mioyo fanana kwa ujenzi wa taifa salama linalosonga mbele na si kurudi nyuma!
 
Siziamini hizo data mpaka zichapishwe na nizione, au nipewe link ya kuziona hizo data.
Ni ulimbukeni kuamini bila kuhakiki hasa haya magazeti uchwara. Siyo kila usomacho ni kweli.
IMF hawana data kama hizo .... I stand to be corrected.
Kiongozi Kobello,

Inawezekana hizi dta zisiwe accurate, lakini kuna uhalisia kwenye kusema kwamba gap ya masikini na tajiri Tanzania imeongezeka sana.

Jina lako ni Kobello. Nimekuta majina ya namna hiyo maeneo ya Mgetta, matombo na Kinole Morogoro. Ukitembelea maeneo hayo niliyoyataja utagundua jinsi yalivyokuwa mwaka 1990 na jinsi yalivyo leo hakuna tofauti kubwa. Sanasana kilichoongezeka ni idadi ya nyumba lakini style na thamani ya nyumba zinayojengwa ni pretty much the same in the past 20 years.

Hali hiyo ni tofauti kabisa na maeneo kama Mikocheni na Mbezi. In the past 20 years kumejengwa nyumba za kifahari, nzuri na za kiwango cha juu. Zinavutia kwelikweli. Nyumba hizi zinamilikiwa na watanzania.

Hivi karibuni kumekuwa na kesi ambazo watu wanatakiwa kuweka bond billions of shilling kwa ajili ya dhamana. Tumeona watu wana nyumba zenye thamani ya mabilioni walizoenda kuziweka dhamana.

Ingekuwa uchumi unakuwa symetrically tungeona mabadiliko Mgeta kama tunavyoona Mikocheni. Kama Mgeta na Matombo kuko vilevile, ni ishara kuwa kwenye mgawanyo equity haijazingatiwa. Kutokusimamiwa huku ni matokeo ya sera na usimamizi wake, sio jambo linalojitokea tu.

Kitu kingine muhimu kukizungumzia ni uwepo mkubwa wa sekta isiyo rasmi. Uwepo huu wa sekta isiyo rasmi unafanya takwimu za vipato vya watu zisiwe accurate. Kwahiyo, ingawa ni sahihi kuwa gap ni kubwa lakini its numerical value itaendelea kuwa doubtful. Nchini kwetu kuna vipazto vingi sana haviko registered. Watu wanaingiza mpaka mabilioni lakini hakuna records ya vipato vyao.

Hapa nitatoa mifano mitatu:
1. DECI - hii pyramid scheme imekuwepo "kimagumashi" ikizungusha mabilioni ya shilingi bila kodi yoyote. Wakati inasimamishwa ilikuwa tayari imekusanya mabilioni mengi. Kuna watu wanasemekana wamejenga nyumba na kuanzisha biashara kwa kutumia scheme hii illegal. DECI imesimamishwa na serikali kwa sababu ilifanyika katika scle kubwa lakini micro scheme similar to DECI zipo. Wanawake wanaita "mchezo". Kupitia hii michezo wanawezeshana na kuendeleza shughuli ndogondogo za uzalishaji. Kwahiyo, ukienda bank kuangalia waztu wangapi wamechukua mkopo utaona watanzania hawajakopa kabisa, kumbe wanakopesha kwa njia ya "mchezo".

2. Bob Sembeke R.I.P alipofariki zilifunguliwa thread za kumjadili. Katika mijadala ile ilifahamika kuwa mfanyabishara huyu alikuwa anafanya niashara ya kukopesha na wasiolipa alikuwa akiwafilisi kwa utaraibu waliokubaliana. Hata hiyvo hakuna kumbukumbu zinazoonyeshwa biashara hiyo ya kukopesha imesajiliwa wapi na imelipa kodi kiasi gani. Mfumo huu usio rasmi wa kukopeshana mitaani upo sana. Kuna mtu namfahamu ana "polisi wake". Akikopesha mteja akawa hataki kumlipa basi huyu polisi aliyeajiriwa na jeshi la polisi huenda kumpa mtu huyo kashkash mpaka analipa au anafilisiwa. Hivi ni vitu vinafanyika na vina impact kwenye mapato ya familia lakini hayaingii kwenye rekodi za uchumi wa nchi sawasawa.

3. Bodaboda: Ajira kwa njia ya bodaboda imeongezeka sana siku za hivi karibuni. Bodaboda hawa hawalipi kodi na hakuna takwimu zinazotuonyesha familia ngapi leo hii zinaendeshwa kwa kutegemea kipato cha bodaboda, kwahiyo katika takwimu za kiofisi bodaboda guys wote wanaonekana ni jobless.

Kwahiyo argument ya Kobello kuwa hizi takwimu sio sahihi ina mashiko, lakini hata tukiweka takwimu pembeni hali halisi tunayoiishi inaonyesha kuwa gap inaongezeka siku hadi siku. Zipo sababu za viongozi hasa wanaopatikana kwa kura kutokuwa na ari ya kupunguza gap hii lakini that is beyond the scope of this dicussion.
 
Mtu washamba, kipimo hiki ambacho kimetokana na kipimo cha awali cha international poverty line ni kipimo ambacho wachumi nguli wa maendeleo wanakipinga na hakika ni kipimo dhaifu cha kupuuziwa.

Kipimo hiki kinalazimisha tupime utajiri au umasikini kwa kutumia ela(monetarization of aspects of life). Kipimo hiki hakijali non-marketable goods, behavior, na life-style ambazo zina umuhimu mkubwa kwenye maendeleo. Mfano kwa mujibu wa kipimo hiki Africa haikuwa na maendeleo yeyote wakati wa batter trade (bihashara ya kubadirishana bidhaa). Huko vijijini wakulima wanabadirishana mazao, mifugo ili kumudu maisha yao ya kila siku. Kipimo hiki kinawahukumu kuwa ni masikini. Kisa? Hawatumii ela na kama wanatumia ni chini ya dola moja.

Kipimo hiki wala akioni kuwa furaha, amani, upendo baina ya dini na makabila mbalimbali kuwa ni sehemu ya maendeleo kwa sababu vitu hivi havina thamani ya kifedha. Anayeishi kwa dola 100 kwa siku kwenye nchi ya vita au anayeishi kwa dola 200 kwa siku kwenye nchi isiyo na furaha na upendo kwa mujibu wa kipimo hiki yeye sio masikini.

Kipimo hiki wala hakifuatilii dola hizo kwa siku zinatumika zaidi wapi. Kana kwamba watu wote wana matumizi sawa na kuona maendeleo kwa definition moja. Jiulize mtu anayeishi New York na anayeishi kajificheni mashambani nani ataweza kuishi bila ela? Sasa ikitokea anayeishi New York kwenye "ela nyingi" na anayeishi kajificheni wote wakapewa kiasi sawa cha ela za kujikimu kwa siku, yupi anauwezo mkubwa wa kubaki na salio? Ni yule wa kajificheni maana mahitaji mengi ya chakula yapo ndani ya nguvu zake. Sasa kwanini wote wapimwe kwa kipimo kimoja? Ukoloni mamboleo.

Vile vile hao World Bank watupe sampling techniques walizotumia. Lakini cha msingi watupe justification ya kuchagua kipimo hiki. Justification ya kisayansi.
Kuna vipimo vingi vya umaskini.

World Bank na IMF wanatumia poverty head count. UNDP wanatumia Human Development Index. Hii ya World Bank inaongelea umaskini wa kipato. Umaskini wa kipato unawajumuisha hata wale ambao wako katika Non-monetized sector, ambao kwa jina jingine Subsistence Economy. Yote yanakuwa na ukweli fulani kwa kiasi kikubwa, ingawa huenda si ukweli kamili.

Kwa kipimo hiki, mtu anayetumia chini ya TShs. 61,000 kwa mwezi, huyu ni maskini wa kipato. Hapa hatuongelei familia, bali mtu mmoja katika familia. Kama familia ni ya mume na mke tu, basi kama wanatumia chini ya TShs. 122,000 kwa mwezi hawa ni maskini wa kipato. Kama ni familia yenye watoto wawili na wanatumia chini ya TShs. 244,000 kwa mwezi basi hiyo ni familia maskini kwa kipato. Na nikiangalia mishahara ya Tanzania naona wengi kati ya wafanyakazi wa chini wanaangukia huko. Nikienda vijijini, ambapo subsistence economy bado ipo sana zaidi ya 50% ya watanzania, sioni hata kama mazao wanayokula tukiyathaminisha bado wanatoka katika hilo kundi.

Sasa mie sikuleta uzi huu hapa ili tubishane. Kwamba wewe hukubaliani na vipimo hivi wala hatuna ugomvi kwa hilo, na ninaheshimu msimamo wako, nikiamini una sababu za kutosha.

Lakini nataka nikuangalishe kitu kimoja. Tukijenga utamaduni wa kupenda kusifiwa na kupigiwa makofi, tutasifiwa hata na wapumbavu na tutafurahia hata kama hali yetu si nzuri. Tukitafakari udhaifu wetu, hata pale ambapo wanaotuambia udhaifu wetu wana exaggerate, tutatoka na mikakati walau ya kuboresha udhaifu uliopo kwa uhalisia.

Kuhusu methodology, cha muhimu ni kama kwa nchi zote hizo za Afrika Mashariki wametumia njia hiyo hiyo. Na kwa kweli World Bank tumewafungulia milango wamo humu nchini mwetu. Wamo katika Wizara ya Fedha, Wamo Benki Kuu, na hatuna la kuficha mbele yao kwa kuwa tumewaruhusu hadi chumbani.
 
Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma hiyo habari kabla ya kukutana na hii.

Tanzania signs $196.5m loans with the World Bank for energy
Kama tungejipanga vizuri na wawekezaji, hizi pesa zingeweza kupatikana humu humu nchini, bila kukopa, kwa mwaka mmoja tu kutoka sekta ya madini.

Hapo chini ni ripoti ya Barrick kwa operations zao zote za Tanzania kwa 2011 na 2012. Hapo migodi iliyo chini ya Ashanti haijawekwa bado. Tungekuwa na 40% share (kama wanavyofanya Botswana na South Africa), sehemu ya mapato ingeweza kwenda Hazina moja kwa moja.

attachment.php

Source: http://www.africanbarrickgold.com/~...ports-and-presentations/abg-ar-final-2012.pdf
 
Kiongozi Kobello,

Inawezekana hizi dta zisiwe accurate, lakini kuna uhalisia kwenye kusema kwamba gap ya masikini na tajiri Tanzania imeongezeka sana.

Jina lako ni Kobello. Nimekuta majina ya namna hiyo maeneo ya Mgetta, matombo na Kinole Morogoro. Ukitembelea maeneo hayo niliyoyataja utagundua jinsi yalivyokuwa mwaka 1990 na jinsi yalivyo leo hakuna tofauti kubwa. Sanasana kilichoongezeka ni idadi ya nyumba lakini style na thamani ya nyumba zinayojengwa ni pretty much the same in the past 20 years.

Hali hiyo ni tofauti kabisa na maeneo kama Mikocheni na Mbezi. In the past 20 years kumejengwa nyumba za kifahari, nzuri na za kiwango cha juu. Zinavutia kwelikweli. Nyumba hizi zinamilikiwa na watanzania.

Hivi karibuni kumekuwa na kesi ambazo watu wanatakiwa kuweka bond billions of shilling kwa ajili ya dhamana. Tumeona watu wana nyumba zenye thamani ya mabilioni walizoenda kuziweka dhamana.

Ingekuwa uchumi unakuwa symetrically tungeona mabadiliko Mgeta kama tunavyoona Mikocheni. Kama Mgeta na Matombo kuko vilevile, ni ishara kuwa kwenye mgawanyo equity haijazingatiwa. Kutokusimamiwa huku ni matokeo ya sera na usimamizi wake, sio jambo linalojitokea tu.

Kitu kingine muhimu kukizungumzia ni uwepo mkubwa wa sekta isiyo rasmi. Uwepo huu wa sekta isiyo rasmi unafanya takwimu za vipato vya watu zisiwe accurate. Kwahiyo, ingawa ni sahihi kuwa gap ni kubwa lakini its numerical value itaendelea kuwa doubtful. Nchini kwetu kuna vipazto vingi sana haviko registered. Watu wanaingiza mpaka mabilioni lakini hakuna records ya vipato vyao.

Hapa nitatoa mifano mitatu:
1. DECI - hii pyramid scheme imekuwepo "kimagumashi" ikizungusha mabilioni ya shilingi bila kodi yoyote. Wakati inasimamishwa ilikuwa tayari imekusanya mabilioni mengi. Kuna watu wanasemekana wamejenga nyumba na kuanzisha biashara kwa kutumia scheme hii illegal. DECI imesimamishwa na serikali kwa sababu ilifanyika katika scle kubwa lakini micro scheme similar to DECI zipo. Wanawake wanaita "mchezo". Kupitia hii michezo wanawezeshana na kuendeleza shughuli ndogondogo za uzalishaji. Kwahiyo, ukienda bank kuangalia waztu wangapi wamechukua mkopo utaona watanzania hawajakopa kabisa, kumbe wanakopesha kwa njia ya "mchezo".

2. Bob Sembeke R.I.P alipofariki zilifunguliwa thread za kumjadili. Katika mijadala ile ilifahamika kuwa mfanyabishara huyu alikuwa anafanya niashara ya kukopesha na wasiolipa alikuwa akiwafilisi kwa utaraibu waliokubaliana. Hata hiyvo hakuna kumbukumbu zinazoonyeshwa biashara hiyo ya kukopesha imesajiliwa wapi na imelipa kodi kiasi gani. Mfumo huu usio rasmi wa kukopeshana mitaani upo sana. Kuna mtu namfahamu ana "polisi wake". Akikopesha mteja akawa hataki kumlipa basi huyu polisi aliyeajiriwa na jeshi la polisi huenda kumpa mtu huyo kashkash mpaka analipa au anafilisiwa. Hivi ni vitu vinafanyika na vina impact kwenye mapato ya familia lakini hayaingii kwenye rekodi za uchumi wa nchi sawasawa.

3. Bodaboda: Ajira kwa njia ya bodaboda imeongezeka sana siku za hivi karibuni. Bodaboda hawa hawalipi kodi na hakuna takwimu zinazotuonyesha familia ngapi leo hii zinaendeshwa kwa kutegemea kipato cha bodaboda, kwahiyo katika takwimu za kiofisi bodaboda guys wote wanaonekana ni jobless.

Kwahiyo argument ya Kobello kuwa hizi takwimu sio sahihi ina mashiko, lakini hata tukiweka takwimu pembeni hali halisi tunayoiishi inaonyesha kuwa gap inaongezeka siku hadi siku. Zipo sababu za viongozi hasa wanaopatikana kwa kura kutokuwa na ari ya kupunguza gap hii lakini that is beyond the scope of this dicussion.
Kuongezeka kwa gap between the rich and poor, siyo jambo linaloongelewa hapa.
Kunaweza kukawa na gap kubwa kati ya masikini na matajiri bila kuaffect watu wanaoishi chini ya 1.25$ .. matter of fact, inaweza kuwa na positive outcome.
Kwa mfano mimi ni mfanyakazi wa tajiri fulani huku States na ananilipa kiasi cha kutosha kwa kazi ninayofanya kiasi kwamba ningefanya serikalini nisingepata kiasi hicho. kutajirika kwake kupita kiasi hakukuwa na negative impact kwa mtu kama mimi labda kwa wengine but I don't see how.
the issue is not the gap, it's the direction of that gap ....
NATAKA KUZIONAS HIZO DATA KUTOKA IMF/WB
 
Kweli ulichoandika. Nakubaliana na wewe. Lakini kumbuka kwa vile uchumi wetu bado ni mdogo, gap inapoongezeka basi wale masikini wanasukumwa below the poverty line. Ingekuwa gap inayoongezeka inaambatana na kukua kwa uchumi basi isingemaanisha watu wanaoishi below poverty line waongezeke, lakini hali yetu si hivyo.

Ni sawa na maji yaliyo kwenye ndoo ya lita 20. Maajiri wamechota kwa kikombe kutoka kwenye ndoo hiyo na masikini wamechota kwa vijiko. Iwapo round ya pili watachota maji kwenye pipa then matajiri wanaweza kuchota kwenye sufuria na masikini wakachota kwenye kikombe gap inakuwa kubwa lakini wote wamepata maji ya kutosha kiasi. Hali tuliyo nayo ni kwamba katika round ya pili matajiri wanakuja na sufuria lakini wanachota kwenye ndoo ileile ya lita 20. Matokeo yake masikini hata kijiko hakijai.

Kwahiyo hapa tunaona kuwa katika uchumi ambao sio mkubwa na ukuaji wake hauendani sambamba na kuongozeka kwa gap kati ya masikini na tajiri asilimia ya masikini inaongezeka sambamba na kuongezeka kwa gap hiyo.
 
vIELELEZO mKUU!!
 
vIELELEZO mKUU!!

GDP yetu haijafika dola bil. 30. Imekuwa ikikua kwa annual rate ya about 6.5% in the near past.

Population yetu ni watu mil. 48. Population growth rate yetu ni kama 2.5% hivi kama sikosei, lakini haipungui below 2. About 80% ya hii growing population iko vijijini ambako hakubenefit na hizo 6.5% growth ya uchumi.

GDP ya bil. 30 USD kwa watu mil. 48 ndio ule mfano niliotoa wa ndoo. Ingekuwa GDP yetu ni angalau USD bil. 200 hivi basi gap ya tajiri na masikini ingekuwa na manufaa mazuri katika job creation.

Kumbuka pia kuwa sehemu kubwa ya uchumi wa nchi uko Dar es Salaam tu. Kuna wilaya ukitembelea zaidi ya ofisi ya mkuu wa wilaya hakuna shughuli nyingine kiasi kwamba hata bank iliyopo ni NMB peke yake kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa umma.

Kwahiyo kutokana na volume ya uchumi wetu the increasing gap is not doing us good. We need to look into this...

Hata hivyo, isitafsiriwe kwamba uchumi wetu unaenda vibaya. Hapana, as a whole uchumi unaenda vizuri na hata World Bank wanaitolea Tanzania mfano wa kuigwa katika kukua kwa uchumi. Changamoto yetu ni kuugawanya huo ukuaji ili uguse maisha ya watu wengi zaidi, hasahasa watu wanaofanya bidii.
 
Kama tumejisahau tuna wajibu wa kupiga vita umaskini. Tunaendekeza shortcut na usanii na wizi wa mali ya umma
 
Tanzania: Sustaining and Sharing Economic Growth
Overview
For the last decade, Tanzania has sustained high economic growth driven by structural reforms and improvements in economic performance and service delivery. Growth in gross domestic product (GDP) has averaged between 5 and 7 percent a year since 2000. Access to primary education has increased dramatically, along with solid increases in net enrollment rates. Under-five child mortality has declined by more than a third since 2000.
Challenge
Tanzania's solid growth record has not led to a corresponding reduction in poverty. The 2007 Household Budget Survey revealed disappointing results in poverty reduction: the poverty headcount ratio dropped only marginally from 35.6 percent in 2001 to 33.6 percent in 2007. Tanzania is therefore not on track to meet the basic needs and the food security MDG. However, data indicates a relatively large concentration of the population around the poverty line, suggesting that achieving the MDG remains feasible.

[h=3]Featured[/h]
actively-covered-arrow.gif

Hii ni Report vya World Bank sept. 25 2012 ... sasa hiyo report nyingine mbvona inanichanganya?
[h=4]e
actively-covered-arrow.gif
[/h]
 
Wenzangu wamesema mengi nami niseme machachetu. katika mfumo wa uzalishaji mali tunajiuliza maswali kadhaa mfano: ni nani anazalisha? Ni nni anamiliki njia za uzalishai? ni nani anatumia zaidi na kwa kiasi kipi? Ukijibu maswali haya unaweza kujua kama mfumo ni wa kinyonyaji au la. Kwa upande wa tanzania kilimo kinashika nafasi kubwa na asilimia karibu 80 ya watanzania ni wakulima tena wadogowadogo.
Sasa tunajiuliza swali je hawa watu wana skills zipi katika kilimo? Je wameendelezwa kwa kiwango gani katika elimu ya kilimo na mazingira yao na hata masoko ya mazao yao. je hawanyonywi? nk.
ukienda zaidi utagundua kuwa hiyo asilimia 80 ya wtz hawana elimu ya kutosa katika kilimo; hawana teknolojia ya kisasa; hawana uhakika wa masoko. wananyonywa na watu wa kati n.k.
elimu ya Tanzania haiwaandai watanzania hawa 80% kwenda kulima kitaalamu. inawaandaa kukimbia kilimo huku viwanda hamna. matokeo yake wasomi kutwa face book, tweeter na mitandao mingine.
wasomi wapo wazuri tu lakini wamekaririshwa mafomula mazito mazito na kushinda mitihani hadi kuitwa madokta lakini hawatengezi zana bora kuongeza ija katika kilimo hata viwanda. tafiti zao zimebaki makabatini mende wakifanya makazi yao. hatuna sayansi na teknoloji ya kutosha kutokana na wasomi wetu hawahawa.
kwa msigi huo watanzania wengi ambao tunasema ni wakulima wataendelea kuwa masikini. na tanzania itaendelea kuwa na masikini wengi hadi mifumo hii tuliyonayo itakapobadilishwa.
 
do! asanteni sana kwa kushiriki kwenu
naomba nikasome usiku huu ndo naweza kuchangia vinginevyo mkinikuta nawasaidia wadanganyika wenzangu kwa kuwaelekeza nilichoelewa msinitoe baruti! naamini kuna kitu cha kujifunza hapa
asanteni wote japo naenda kuchagua vya msingi zaidi kwa kadri ya mahitaji yangu
jamii forums zaidi ya bunge
 
Wenzangu wamesema mengi nami niseme machachetu. katika mfumo wa uzalishaji mali tunajiuliza maswali kadhaa mfano: ni nani anazalisha? Ni nni anamiliki njia za uzalishai? ni nani anatumia zaidi na kwa kiasi kipi? Ukijibu maswali haya unaweza kujua kama mfumo ni wa kinyonyaji au la. Kwa upande wa tanzania kilimo kinashika nafasi kubwa na asilimia karibu 80 ya watanzania ni wakulima tena wadogowadogo.
Sasa tunajiuliza swali je hawa watu wana skills zipi katika kilimo? Je wameendelezwa kwa kiwango gani katika elimu ya kilimo na mazingira yao na hata masoko ya mazao yao. je hawanyonywi? nk.
ukienda zaidi utagundua kuwa hiyo asilimia 80 ya wtz hawana elimu ya kutosa katika kilimo; hawana teknolojia ya kisasa; hawana uhakika wa masoko. wananyonywa na watu wa kati n.k.
elimu ya Tanzania haiwaandai watanzania hawa 80% kwenda kulima kitaalamu. inawaandaa kukimbia kilimo huku viwanda hamna. matokeo yake wasomi kutwa face book, tweeter na mitandao mingine.
wasomi wapo wazuri tu lakini wamekaririshwa mafomula mazito mazito na kushinda mitihani hadi kuitwa madokta lakini hawatengezi zana bora kuongeza ija katika kilimo hata viwanda. tafiti zao zimebaki makabatini mende wakifanya makazi yao. hatuna sayansi na teknoloji ya kutosha kutokana na wasomi wetu hawahawa.
kwa msigi huo watanzania wengi ambao tunasema ni wakulima wataendelea kuwa masikini. na tanzania itaendelea kuwa na masikini wengi hadi mifumo hii tuliyonayo itakapobadilishwa.

Mkuu,
Asante sana kwa mchango wako. Hapo kwenye highlight naomba ufafanuzi. Ni nini maana ya kusema kilimo kinashika nafasi kubwa?

Kuna misemo ya kisiasa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wetu. Misemo hiyo imezoeleka na bado inasikika lakini takwimu rasmi zinaonyesha karibia nusu ya GDP inatokana na service industry. Kilimo mchango wake kwenye GDP hauzidi theluthi.

Kwahiyo umuhimu wa kilimo katika nchi kwa sehemu kubwa umebakia kuwa ni source ya chakula yaani subsistence farming na sio kwa maana ya kuliingizia taifa pato moja kwa moja.

Ni kwa mantiki hii sijaelewa vizuri kauli kuwa " kwa Tanzania kilimo kinashika nafasi kubwa".

Asante kwa ufafanuzi...
 
Kazi kwenu mnaopigwa propaganda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu,
Asante sana kwa mchango wako. Hapo kwenye highlight naomba ufafanuzi. Ni nini maana ya kusema kilimo kinashika nafasi kubwa?

Kuna misemo ya kisiasa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wetu. Misemo hiyo imezoeleka na bado inasikika lakini takwimu rasmi zinaonyesha karibia nusu ya GDP inatokana na service industry. Kilimo mchango wake kwenye GDP hauzidi theluthi.

Kwahiyo umuhimu wa kilimo katika nchi kwa sehemu kubwa umebakia kuwa ni source ya chakula yaani subsistence farming na sio kwa maana ya kuliingizia taifa pato moja kwa moja.

Ni kwa mantiki hii sijaelewa vizuri kauli kuwa " kwa Tanzania kilimo kinashika nafasi kubwa".

Asante kwa ufafanuzi...
Mkuu asante pia. nina maana ni shuguli kubwa ya uzalishaji yaani watu wengi wanajishughuisha nacho. sina maana kuwa kinaingiza pato zaidi
 
Kuna vipimo vingi vya umaskini.

World Bank na IMF wanatumia poverty head count. UNDP wanatumia Human Development Index. Hii ya World Bank inaongelea umaskini wa kipato. Umaskini wa kipato unawajumuisha hata wale ambao wako katika Non-monetized sector, ambao kwa jina jingine Subsistence Economy. Yote yanakuwa na ukweli fulani kwa kiasi kikubwa, ingawa huenda si ukweli kamili.

Kwa kipimo hiki, mtu anayetumia chini ya TShs. 61,000 kwa mwezi, huyu ni maskini wa kipato. Hapa hatuongelei familia, bali mtu mmoja katika familia. Kama familia ni ya mume na mke tu, basi kama wanatumia chini ya TShs. 122,000 kwa mwezi hawa ni maskini wa kipato. Kama ni familia yenye watoto wawili na wanatumia chini ya TShs. 244,000 kwa mwezi basi hiyo ni familia maskini kwa kipato. Na nikiangalia mishahara ya Tanzania naona wengi kati ya wafanyakazi wa chini wanaangukia huko. Nikienda vijijini, ambapo subsistence economy bado ipo sana zaidi ya 50% ya watanzania, sioni hata kama mazao wanayokula tukiyathaminisha bado wanatoka katika hilo kundi.

Sasa mie sikuleta uzi huu hapa ili tubishane. Kwamba wewe hukubaliani na vipimo hivi wala hatuna ugomvi kwa hilo, na ninaheshimu msimamo wako, nikiamini una sababu za kutosha.

Lakini nataka nikuangalishe kitu kimoja. Tukijenga utamaduni wa kupenda kusifiwa na kupigiwa makofi, tutasifiwa hata na wapumbavu na tutafurahia hata kama hali yetu si nzuri. Tukitafakari udhaifu wetu, hata pale ambapo wanaotuambia udhaifu wetu wana exaggerate, tutatoka na mikakati walau ya kuboresha udhaifu uliopo kwa uhalisia.

Kuhusu methodology, cha muhimu ni kama kwa nchi zote hizo za Afrika Mashariki wametumia njia hiyo hiyo. Na kwa kweli World Bank tumewafungulia milango wamo humu nchini mwetu. Wamo katika Wizara ya Fedha, Wamo Benki Kuu, na hatuna la kuficha mbele yao kwa kuwa tumewaruhusu hadi chumbani.

Siko hapa kubishana bali kujadiri hoja. Lakini ili kujadiri hoja lazima kwanza tukubaliane na hoja kwanza. Hoja ya msingi hapa ni kwamba Tz ni masikini kwa mujibu wa bank ya dunia. Sasa tusiwe vipofu wa kukubali kwamba sisi ni masikini bila kukubaliana na kipimo kilichotumika kutuweka kwenye kundi la masikini.

Kama hatujui nini maana ya masikini tunapata wapi nguvu za kujadiri chanzo cha umasikini? Binafsi nadhani swali la msingi ni kujadiri maana ya umasikini kama tutakavyokubaliana kisha ndipo tujadiri chanzo.

Mkulima mwenye mifugo ya kila aina na chakula cha kutosha anachopata kwa nguvu zake, mwenye, amani na furaha tutamwita masikini ati kwasababu kwa siku anatumia chini ya dola mbili?

Mfanyakazi anayelipwa sh 200,000/= kwa mwezi ambapo mahesabu ya ela anayotumia kwa siku yanatupa takriba dola 4 kwa siku, yeye ni tajiri kama wanavyotuaminisha bank ya dunia?

Neno masikini ni relative na subjective hivyo haliwezi kuwa generalized na inashangaza bank ya dunia inashindwa kuwekeza kwenye vipimo halisia vya umasikini.
 
Mkuu asante pia. nina maana ni shuguli kubwa ya uzalishaji yaani watu wengi wanajishughuisha nacho. sina maana kuwa kinaingiza pato zaidi

Ok, asante kwa ufafanuzi. Ni kweli takwimu zinaonyesha karibia asilimi 80 ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Ingawa to be precise nadhani wanazungumzia asilimia ya watu walio katika umri wa kuzalisha.

Hii inamaanisha kuboresha kilimo inaweza kuwa njia muafaka ya kupunguza idadi ya masikini kama ulivyosema hapo juu.
 
Back
Top Bottom