Great people and great location; I do agree with those two factors. Wengi tumefanikiwa kufika kenya kwa kweli ukiangalia the way wanavyoendesha mambo yao utakubaliana na huyo mchumi aliyezungumza sababu hizo. Mimi binafsi nawakubali sana wakenya kwani hakuna utani linapokuja suala la maendeleo ya nchi yao, ndio wana matatizo yao lakini kile ambacho wanakifanya kwa kweli unaona kwamba kuna uwajibikaji. Pata nafasi ya kutembelea Thika wanapojenga mji wao mpya wa viwanda its wonderful.jamaa wanapiga hatua sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.