World Bank withholds grant for Tanzania over Magufuli restrictions on statistics

World Bank withholds grant for Tanzania over Magufuli restrictions on statistics

Vipi WB juzi imetoa hela ndefu kwa Sector Mingi Tz tena kwa Riba ya karibu bure?
Msidanganywe wadau, WB inafahamu kwamba Tz ni Nchi ambayo ina uwezo mkubwa wa kuchukua Mikopo kwa riba ya juu lakini takwimu zake zinafanywa ukarabati zikae za ki-LDC ili mikopo iwe garama ya chini kwa walipa kodi.
TZS pia hupigwa ukarabati iwe chini kwa dollar kama vile china na Japan hufanya kwao..Maana ya hii niku promote exports
Hakuna vile nchi ambayo ina FDI ya juu kabisa na Pesa ya utalii ni sawa na ya EAC combined inaweza kuwa na fedha kama madafu..
UJAJA ni muhimu kwa biashara, ukitaka kufaulu lazima ujifanye wewe bado maskini ili watu wasi take advatage yako

Fake Statistics
 
CCM ipo na wanachama zaidi 25,000,000. Kinyago kama wewe utaishia kuvimba tu na mwisho wa siku utapa stress.
Wee Taahira wa lumumba maelezo yako hayaondoi fact kwamba Sheria ya kuzuia watu na vyombo binafsi kutoa Takwimu ni sheria mbovu na kandamizi na matokeo yake WB wamepiga pini msaada..
Nyie majinga lolote hata kama ni la ovyo kazi yenu kushangilia tu..
Punguani wewe.
 
Subiri ije taarifa ya kunyimwa mkopo na IMF kwa kutosign kuruhusu ushoga,ndio hapo utaelewa unatakiwa ukachukue kichwa chako ulipokiacha.
 
Wee Taahira wa lumumba maelezo yako hayaondoi fact kwamba Sheria ya kuzuia watu na vyombo binafsi kutoa Takwimu ni sheria mbovu na kandamizi na matokeo yake WB wamepiga pini msaada..
Nyie majinga lolote hata kama ni la ovyo kazi yenu kushangilia tu..
Punguani wewe.
Duh!! Sasa hili povu zito kweli.
 
Awe JK awe nani..yote ni CCM hiyo..
Idiot dimwit.
You're the idiot one, because hujui hata ni lini hiyo sheria imetungwa, kazi mihemuko tu na chuki zako kwa magu.
Utapata tabu sana.
 
You're the idiot one, because hujui hata ni lini hiyo sheria imetungwa, kazi mihemuko tu na chuki zako kwa magu.
Utapata tabu sana.
Suala si lini ilitungwa swala ni nani aliruhusu sheria mbovu kutumika
 
"Statistics can not feed hungry people"....by mh.john Joseph pombe magufuli
 
Safi sana WB..

Hii Sheria ya kuzuia Utoaji wa Takwimu usifanywe na watu Binafsi au Taasisi zisizo za serikali mpaka kupata kibali cha Ofisi Kuu ya Takwimu ya Serikalini ni ya OVYO kabisa.

Na aliesababisha Serikali kutunga hii Sheria ni Mbunge Zitto Kabwe ambaye amekuwa anatoa Takwimu nyingi za mwenendo wa ukuaji wa Uchumi wa Tanzania ambazo ni za kweli lakini serikali inakuwa inapingana nazo..

Safi sana World Bank kamatieni hapohapo mpaka Dikteta apate akili..

Shame.

Hii habari unayo?
Sababu naona povu linakuchuruzika hovyo

EU 🇪🇺 doubled that amount the same day 💰
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom