World Bank withholds grant for Tanzania over Magufuli restrictions on statistics


Fake Statistics
 
CCM ipo na wanachama zaidi 25,000,000. Kinyago kama wewe utaishia kuvimba tu na mwisho wa siku utapa stress.
Wee Taahira wa lumumba maelezo yako hayaondoi fact kwamba Sheria ya kuzuia watu na vyombo binafsi kutoa Takwimu ni sheria mbovu na kandamizi na matokeo yake WB wamepiga pini msaada..
Nyie majinga lolote hata kama ni la ovyo kazi yenu kushangilia tu..
Punguani wewe.
 

Subiri ije taarifa ya kunyimwa mkopo na IMF kwa kutosign kuruhusu ushoga,ndio hapo utaelewa unatakiwa ukachukue kichwa chako ulipokiacha.
 
Duh!! Sasa hili povu zito kweli.
 
Awe JK awe nani..yote ni CCM hiyo..
Idiot dimwit.
You're the idiot one, because hujui hata ni lini hiyo sheria imetungwa, kazi mihemuko tu na chuki zako kwa magu.
Utapata tabu sana.
 
You're the idiot one, because hujui hata ni lini hiyo sheria imetungwa, kazi mihemuko tu na chuki zako kwa magu.
Utapata tabu sana.
Suala si lini ilitungwa swala ni nani aliruhusu sheria mbovu kutumika
 
"Statistics can not feed hungry people"....by mh.john Joseph pombe magufuli
 
Hii habari unayo?
Sababu naona povu linakuchuruzika hovyo

EU 🇪🇺 doubled that amount the same day 💰
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…