Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Leo makamanda uchwara mtatapatapa siku nzima, duh.Makamanda watakua wanamuonea wivu Mh.Zitto Kabwe maana wao walishindwa kumtetea mtoto wa kike spate elimu .Wakati mwingine Mh.Zitto anafanya mambo mazito kuliko wote waliopo Ikulu aisee.
MaZuzu hayasomi wanadhani wamepewa tuu kumbe mashart ya Zitto yamezingatiwa hivyo Zitto mshindWamewapa baada ya kukubali masharti yao yote kama alivyotaka ZZK
Mzee USD 500M ni sawa na shingapi kwa pesa ya madafu?Moja ya faida kubwa aliyonayo Magufuli ni kuwa na jeshi kubwa la wajinga nyuma yake!! Ina maana hiyo 500M ndo Trillion 1, au?!
Btw, wakati unatamba kwamba akina Zitto walipitisha kampeni chafu "iliyokwama", unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo? Hiv umeelewa nini kuhusu vipengele vifuatavyo:-
Labda ukumbushwe jambo moja! Wakati Wapiga Makofi mnadai Zitto akafanay kampeni ya kuzuia mkopo, hoja ya Zitto ilikuwa mkopo huo utabagua watoto maskini kwa sababu unapopiga marufuku watoto waliopata ujauzito wasiendelee na shule, ambae hataendelea ni mtoto wa maskini na sio mtoto from a well-off family ambae anaweza kupelekwa private school!
Hapo juu unaambiwa "and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out" kitu ambacho serikali ya Magufuli ilikuwa haikitaki, na ndicho ambacho Zitto alikuwa anakipigania!!
Waliowapa huo mkopo wanaendelea:-Unapomkejeli Zitto wakati watoa mkopo hiyo ndiyo statement yao basi unaonesha wazi kwamba wala hujui unachokifurahia kwa sababu kimsingi, wanapita mle mle alimopita Zitto, na ndio maana wamesema "Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center"
Kumbe wakati nyie mlikuwa mnataka watoto wakipata ujauzito wasiendelee, wenyewe waliowapa mkopo wanawaambia EVERY CHILD DESERVES A GOOD EDUCATION, na kwamba This project puts the country’s young people front and center"
Waliowapa mkopo wanapigilia msumari kwa kusema:- Kumbe watoa mkopo, project yao inahakikisha WATOTO WOTE WA KIKE, wanamaliza elimu ya sekondari NO MATTER WHAT!!!
Narudia swali langu la awali:- "unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo?"
Hivi tatizo lugha au ulikurupuka ku-post kaba hujasoma?! Kama ulikurupuka ku-post kabla hujasoma, hebu pitia angalau hapa:- What's wrong with JPM's Supporters?! Hivi hadi hapo bado mnashindwa kabisa kuelewa mkopo umetolewa kwa kuangalia maoni ya NGOs pamoja na hao akina Zitto?
In short, Magu na serikali yake wameufyata!!!
hakuna kinachowaumiza MATAGA kukil kwamba jiwe kaufyataMoja ya faida kubwa aliyonayo Magufuli ni kuwa na jeshi kubwa la wajinga nyuma yake!! Ina maana hiyo 500M ndo Trillion 1, au?!

Poor you! Mbona wakati huo mkopo unazuiwa mlikuwa mnafurahia mkisema JPM anakomolewa?Poor mind, badala ya kuleta options za tutoke vipi kama Taifa kuweza ku mobilize resources zetu kujikwamua eti tukae kumlaumu mtu kwa sababu ya msaada wa nje.
Mkishanasaga huwa mnahangaika sana... ALiyesema wazi ni Zitto, kama kuna mwingine aliesema mafichoni hata wewe utamjuaje? KWENYE UKWELI MSEME
Acha hasira na chuki dogo,! Hivi wakati Zitto anazunguka huko duniani si mlikuwa manfurahia sana?Moja ya faida kubwa aliyonayo Magufuli ni kuwa na jeshi kubwa la wajinga nyuma yake!! Ina maana hiyo 500M ndo Trillion 1, au?!
Btw, wakati unatamba kwamba akina Zitto walipitisha kampeni chafu "iliyokwama", unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo? Hiv umeelewa nini kuhusu vipengele vifuatavyo:-
Labda ukumbushwe jambo moja! Wakati Wapiga Makofi mnadai Zitto akafanay kampeni ya kuzuia mkopo, hoja ya Zitto ilikuwa mkopo huo utabagua watoto maskini kwa sababu unapopiga marufuku watoto waliopata ujauzito wasiendelee na shule, ambae hataendelea ni mtoto wa maskini na sio mtoto from a well-off family ambae anaweza kupelekwa private school!
Hapo juu unaambiwa "and supporting more children to re-enter the formal public system if they drop out" kitu ambacho serikali ya Magufuli ilikuwa haikitaki, na ndicho ambacho Zitto alikuwa anakipigania!!
Waliowapa huo mkopo wanaendelea:-Unapomkejeli Zitto wakati watoa mkopo hiyo ndiyo statement yao basi unaonesha wazi kwamba wala hujui unachokifurahia kwa sababu kimsingi, wanapita mle mle alimopita Zitto, na ndio maana wamesema "Every child in Tanzania deserves a good education, but thousands are denied this life-changing opportunity each year. This project puts the country’s young people front and center"
Kumbe wakati nyie mlikuwa mnataka watoto wakipata ujauzito wasiendelee, wenyewe waliowapa mkopo wanawaambia EVERY CHILD DESERVES A GOOD EDUCATION, na kwamba This project puts the country’s young people front and center"
Waliowapa mkopo wanapigilia msumari kwa kusema:- Kumbe watoa mkopo, project yao inahakikisha WATOTO WOTE WA KIKE, wanamaliza elimu ya sekondari NO MATTER WHAT!!!
Narudia swali langu la awali:- "unaweza kututajia hapa attached strings kwenye huo mkopo?"
Hivi tatizo lugha au ulikurupuka ku-post kaba hujasoma?! Kama ulikurupuka ku-post kabla hujasoma, hebu pitia angalau hapa:- What's wrong with JPM's Supporters?! Hivi hadi hapo bado mnashindwa kabisa kuelewa mkopo umetolewa kwa kuangalia maoni ya NGOs pamoja na hao akina Zitto?
In short, Magu na serikali yake wameufyata!!!
Tena waliokua wanashangilia wana akili sana..Maana hii ingetusaidia sana kuanza kufikiria sana asa katika kutumia raslimali zetu ili tutoe huduma ya Elimu.Kushangilia ili la kupata pesa zenye masharti ya WB ni kuuza Uhuru wetu.Poor you! Mbona wakati huo mkopo unazuiwa mlikuwa mnafurahia mkisema JPM anakomolewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapo una kamgaoMakamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.
Ah! Unajua niliandika posts 2 tofauti, moja nika-edit ndo hiyo ya hiyo ya 500M, nikaiunganisha na post yenye maelezo hapo chini bila kujua nilihamisha kila kitu from original postMzee USD 500M ni sawa na shingapi kwa pesa ya madafu?
Acheni kuhamisha magoli!Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.View attachment 1405624
Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
View attachment 1405625
Hivi kwanini nyie watu kila anayepinga mipango ya yule mzee mnaona ana chuki?! Acheni ushamba nyinyi... mtakuwa watu wa ajabu sana kama mnataraja kila mmoja ampigie makofi hata kwa mambo ya hovyo!!Acha hasira na chuki dogo,! Hivi wakati Zitto anazunguka huko duniani si mlikuwa manfurahia sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi mpooooooo! Tumeupa mkopo wetu, na hata ndugu zenu watanufaika na mkopo huu! Du, ila ninyi wachawi hamjitambui kabisa kah!ZITTO KABWE AUMBUKA.
Kampeni yake chafu dhidi ya Tanzania yakwama.
_
Benki ya Dunia yaidhinisha Mabilioni ya fedha za kusaidia Elimu alizotaka Tanzania inyimwe.
Saa chache zilizopita Benki ya Dunia kupitia Bodi ya Wakurugenzi Watendaji ya Chama cha Maendeleo ya Kimataifa (IDA) imefanya maamuzi ya kihistoria ya kuruhusu mkopo wa Dola za Marekani Milioni 500 utolewe kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha elimu ya Sekondari baada ya mjadala mrefu uliochukua miezi zaidi ya mitatu.
Uamuzi wa Benki ya Dunia umezima kampeni ya kidhalimu iliyofanywa na Mwanasiasa mpuuzi Zitto Kabwe aliyeandika barua kwenda benki hiyo akitumia nembo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka Tanzania inyimwe mkopo huo bila kujali athari zake kwa wananchi hasa wanyonge na maskini.
Zitto Kabwe akishirikiana na mabeberu wanaomfadhili alifanya uharamia kwa kuchochea uongo kuwa Tanzania inakandamiza wanafunzi wa kike kwa kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito ilihali anajua kuwa sio kweli na kuna utaratibu ulio wazi wa watoto hao kupata elimu kupitia programu mbalimbali za Elimu ya Watu Wazima, Mpango wa Elimu kwa walioikosa na vyuo mbalimbali.
Hili ni pigo jingine baya sana kwa Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakiichonganisha na kuichafua Serikali ya Tanzania na Mashirika ya Kitamaifa kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kujali athari ambazo wananchi wanazipata kutokana na kuinanga Tanzania ama kukwamisha miradi mikubwa na washirika wa maendeleo.
Katika safari ndefu ya mjadala ambao ulianza tangu Januari mwaka huu wa 2020, Benki ya Dunia imepiga chini msimamo wa mabeberu waliotaka Tanzania inyimwe fedha hizo baada ya kuingizwa mkenge na Zitto Kabwe.
Watu wengi wanaweza kujiuliza kwa nini Zitto Kabwe na wafadhili wake walikuwa wanashupalia Tanzania inyimwe fedha hizo? Ukweli ni kwamba Zitto na wadhalimu wenzake hawakuzuia fedha hizo kwa sababu ya kupigania wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wakiwa shule kama wanavyodai, bali walishupalia Tanzania isipewe fedha hizo baada ya msimamo wa Serikali ya Awamu ya Tano kukataa kukopeshwa fedha ambazo zingeingizwa nchi kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na miradi ambayo haina matokeo kwa wananchi ili baadaye zitumike kwa maslahi ya siasa za upinzani na sio wananchi.
Kwenye hili, Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Jemedali Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli inastahili pongezi za dhati kwa msimamo thabiti usiyoyumba na ushindi mkubwa dhidi ya kibaraka Zitto Kabwe na washirika wake ambao wamekuwa wakipiga tripu kwenda mabeberu hao kufanya kampeni ya kuiangamiza Tanzania eti wakitaka kuiondoa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.
Kongole Rais Magufuli, hongera Watanzania wote kwa ushindi huu mkubwa. Zitto Kabwe na washirika wake washindwe na walegee.
Sasa Tanzania itapata Dola za Marekani Milioni 500 sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1 na Bilioni 135 kwa ajili ya kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata elimu ya Sekondari, kuboresha mazingira ya elimu kwa wasichana na kuinua ubora wa elimu kwa wasichana na wavulana.
Mkopo huu ni wa gharama nafuu na sio fedha za bure. Watanzania watazilipa, lakini sasa watalipa fedha ambazo zinakopwa na kuelekezwa kuwasaidia mamilioni ya Watoto wa Tanzania na sio kwenda kwenye NGO na miradi ya kupitisha fedha zinazokwenda kwa wachumia tumbo akina Zitto Kabwe na washirika wake.
Tunaamini Serikali ya Tanzania itatoa mchanganuo wa fedha hizi zinakwenda wapi na zitawanufaishaje Wanzania.
Kila la kheri Watanzania na pole sana Zitto Kabwe kwa kuangukia pua katika mchazo huu mchafu. Tambua kuwa Mwenyezi Mungu husimama na wenye haki na katika hili amesimama na Watanzania wenye haki na Rais wao mpendwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
Taarifa hii haina uhusiano na siku ya Wajinga Duniani. Ni ukweli mtupu na inapatikana katika tovuti mbalimbali za Kimataifa. Waweza kuisoma hapa kwenye tovuti ya Benki ya Dunia yenyewe
New Financing to Make Secondary Education Safer, Better, and More Accessible for Tanzanian Girls and Boys
Mwl. Damas Masele MPJ
Mkufunzi Mstaafu.
31 Machi, 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Si mlisema hizo hela zisitolewa maana zinafadhili ukandamizaji kwa wapinzani? Kiko wapi sasa?Hivi wanaccm nani kawaroga?? Serikali imekubali masharti ya Zitto kwa asilimia 100
Na imepiga goti mbele ya wanaharakati
Wanahamisha magoli?! Hivi umesoma hayo maelezo?!