World Bank : Zaidi ya nusu ya wakenya wanaishi majalalani 😁😂

World Bank : Zaidi ya nusu ya wakenya wanaishi majalalani 😁😂

Tukusaidie Kenya kwenye deal za maparachichi mlitualika twende wote
Afrika kuna vituko sana. Yaani mwafrika anamcheka mwafrika mwenzake kwa umaskini badala ya kutafuta namna ya kusaidiana.
 
Wakenya waibuka kidedea tena kwenye moja ya masuala hodari kwa kuiwakilisha East African Region

Almost 60% ya wakenya wanaishi jalalani ni moja ya nchi inayofanya vizuri kwenye kipengele hicho kiasi cha kuwapita mpaka wababe wa Dunia katika hiyo sector kama India, Brazil, Mexico, Thailand, Philippines imagine mpaka Nigeria wamempiga nock out. View attachment 1091305
Hahahahahahaha hii kali ya mwaka!! Wakenya mnaitwa huku mje mjibu!
 
This is bullshit
Wakenya wamewazizidi hadi nigeria?
Tumia akili vizuri, Nigeria ina population ya 200 million ilhali 50% yao wanaishi majalalani, inamaanisha 100 million wanigeria wanaishi majalalani.
 
This report is fake and it lacks credibility, less than 35% of Kenyan population ndio wanaishi kwenye urban regions ,sasa hii 56% imetoka wapi?
 
Back
Top Bottom