Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Ile bullet mzee, kipa imebidi awe mpole tu!.Golikipa kakwepa ile "nduki"....kumbe inaruhusiwa kukwepa.......hahahahahhaha
Hamna offside, unaangalia TV ya kichina nini?Dah ilikuwa tatu bahati yao slovenia ilikuwa offside pale
Hivi huyu refa wamemtoa wapi?.