Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa kuwa na nyinyi kwenye mechi ya leo. Nilikuwa nataka kuchemsha tu BARAZA.
Ukweli ni kuwa, hawa Wageruman wana balaa au complex sana mara wakikutana na timu za Balkan.
Naona tangu wapigwe kwenye vita ya kwanza ya dunia, wamejenga kuwaogopa.
Inakuwa kama iko kwenye damu. Ni sawa na wakikutana na Brazil.
Anyway, naona mith inaendelea, German inaziogopa nchi ya Balkan.
Mkuu natambuwa uwepo wako.....usisahau kupitia kule kwetu kule .comusa r in trouble now.
Mkuu natambuwa uwepo wako.....usisahau kupitia kule kwetu kule .com