World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

its all over.....serbia 1-germany 0

ghana 3pts
germany 3pts
serbia 3pts
australia 0pts

very good job by germany ''selling the game''........washa-qualify sio??

9 yellow cards......
 
NIKIRIPOTI KUTOKA OFISINI NIKIMUIBIA MUDA WAKE MKOLONI......!mimi ni teamo wa jf!
nawahi valuu
 
Niliwaambia.......................... GERMAN kauza mechi. Na mechi imekwishaaaaaaa.....

Ghana wana kazi ngumu saaanaa. Miroslaw Klose kawauwa Waghana.

Utashangaa siku wanacheza na Ghana watakavyokuwa na nguvu.....

WAAAT?...hahahaha...acha uzushi! How does this score affect Ghana? PLEAZEEEE be realistic at times. Ghana wana nafasi nzuri ya kushinda kundi! Yani wauze huku Ghana bado ina mechi mbili? Wana uhakika na hizo mechi???
 
Mara ya mwisho timu ya German (ya taifa) kukosa Penati ilikuwa mwaka 1974. Habari ndiyo hiyooooooo............
 
Niliwaambia.......................... GERMAN kauza mechi. Na mechi imekwishaaaaaaa.....

Ghana wana kazi ngumu saaanaa. Miroslaw Klose kawauwa Waghana.

Utashangaa siku wanacheza na Ghana watakavyokuwa na nguvu.....

watakuwa na nguvu coz wasiposhinda wanatolewa......huwezi kuuza mechi bila uhakika wa kuingia 2nd round....kama germany wangekuwa na 6pts ningekubaliana na wewe lakini seriously,conspiracy zako hazina ground maanake sasa wajerumani wako under serious pressure ya kushinda game yao ya mwisho......ghana anahitaji kumfunga australia wakishindwa huo ni uzembe wao sio ujerumani kuuza mechi.....
 
mimi sikubaliani na aidia ya sikonge ya kuuza mechi!
 
WAAAT?...hahahaha...acha uzushi! How does this score affect Ghana? PLEAZEEEE be realistic at times. Ghana wana nafasi nzuri ya kushinda kundi! Yani wauze huku Ghana bado ina mechi mbili? Wana uhakika na hizo mechi???

afadhali seme wewe mkuu,huyu jamaa kang'ang'ania ujerumani kauza mechi as if washa-qualify.......umeona wapi hio??conspiracy theory haina kichwa wala miguu.............
 
afadhali seme wewe mkuu,huyu jamaa kang'ang'ania ujerumani kauza mechi as if washa-qualify.......umeona wapi hio??conspiracy theory haina kichwa wala miguu.............

Si ndo hapo...alafu anaongea kwa nguvu...kazi kweli kweli!!! Game imewaacha Germany katika hali ngumu. Tena Ghana ndo inauwezo wa kuwatoa! Maana ikitoa draw kesho na ikiwachapa tu...na Serbia wakatoa draw...Germany kwisha!!
 
mimi sikubaliani na aidia ya sikonge ya kuuza mechi!

aidia yake haina mshiko......kama germany wangekuwa na 6pts sawa....lakini 3pts then wauze game wategemee kumfunga ghana as if ghana sio chochote c'mon man..............
 
kundi liko kwenye wakati mgumu sana hili.serbia ndio wamejiweka nafasi nzuri kutoka na australia kuonekana kibonde.
 
aidia yake haina mshiko......kama germany wangekuwa na 6pts sawa....lakini 3pts then wauze game wategemee kumfunga ghana as if ghana sio chochote c'mon man..............

naona jana celtics wameniangusha adbulhalim kala hela yangu lol.
 
Ndo game
naona safari hii wale miamba wamekuwa mdebwedo kinoma
ngoja tuwasubiri BRAZIL maana sina imani na timu kubwa tena
 
Nashukuru kwa kuwa na nyinyi kwenye mechi ya leo. Nilikuwa nataka kuchemsha tu BARAZA.

Ukweli ni kuwa, hawa Wageruman wana balaa au complex sana mara wakikutana na timu za Balkan.

Naona tangu wapigwe kwenye vita ya kwanza ya dunia, wamejenga kuwaogopa.

Inakuwa kama iko kwenye damu. Ni sawa na wakikutana na Brazil.

Anyway, naona mith inaendelea, German inaziogopa nchi ya Balkan.
 
hili kombe HALINA MWENYEWE!
unajua ghana akikaza anaweza akapenya super-sixteen..........!
 
naona jana celtics wameniangusha adbulhalim kala hela yangu lol.

hata mi wameniangusha sana......13pts 3rd 1/4 kweli unapoteza game ya ubingwa....kuna wachezaji,they wont come that close to the title in their carrier,they'll regret losing that opportunity....
 
hii mechi slovenia wakishinda wanaingia 2nd round...........
 
Niliwaambia.......................... GERMAN kauza mechi. Na mechi imekwishaaaaaaa.....

Ghana wana kazi ngumu saaanaa. Miroslaw Klose kawauwa Waghana.

Utashangaa siku wanacheza na Ghana watakavyokuwa na nguvu.....

Hawa Wajerumani wasije kushangaa pale Ghana na Australia wakitoka droo na Ghana kutoka droo na Ujerumani na Australia kumshindilia Serbia magoli kama mvua. Yote haya yanawezekana.
 
Back
Top Bottom