Hamna offside, unaangalia TV ya kichina nini?
Refa kama hawa wanafaa kuchezesha mechi za mchangani tu huko watokako, ovyo kabisa.refa huyo baada ya mechi hio hana kibarua.
Wot a shot! The second half immediately springs to life as Landon Donovan finds himself in space behind the Slovene defence before thumping his shot into the roof of the net and past Samir Handanovic from a tight angle
Refa kama hawa wanafaa kuchezesha mechi za mchangani tu huko watokako, ovyo kabisa.
unanikumbusha miaka hiyo kipindi timu ya Manyema wakati bado wakicheza mchangani pale shule ya uhuru walipokuwa wanapambana na timu ya Nungu, refa walikuwa hawaponi pale.ha ha ha mchangani saa hizi angekua hana meno ,wahuni washampiga zamani.
marefa wa mechi za leo wote vituko,yule mwingine katoa 9 yellow cards+1 red....tusubiri refa wa eng vs algeria..........
na ndio kaishia hapohapo .. hata kibendera asahau _)(*&^%$%^&*()(*&^%$Huyu refa ilikuwa ni mechi yake ya kwanza ya Fifa world cup, ameanza vibaya sana.