World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48114308_ld_getty.jpg

Wot a shot! The second half immediately springs to life as Landon Donovan finds himself in space behind the Slovene defence before thumping his shot into the roof of the net and past Samir Handanovic from a tight angle
 
Huyu Mdinka kutoka Mali kaharibu kabisa, ka-validate ule msemo wa Nyani Ngabu, Miafrika ndivyo Ilivyo!
 
_48114308_ld_getty.jpg

Wot a shot! The second half immediately springs to life as Landon Donovan finds himself in space behind the Slovene defence before thumping his shot into the roof of the net and past Samir Handanovic from a tight angle

kipa naona na macho kafumba ha ha ha.
 
USA were robbed na huyu refa aisee... a clear goal sijui sisi miafrika tukoje

filimbi kutwa kama pipi kifua!!!!!!!!!!!!!!
 
marefa wa mechi za leo wote vituko,yule mwingine katoa 9 yellow cards+1 red....tusubiri refa wa eng vs algeria..........
 
Kweli huyu refa leo kafanya fyongo kubwa kila tv wanaponda tu
 
ha ha ha mchangani saa hizi angekua hana meno ,wahuni washampiga zamani.
unanikumbusha miaka hiyo kipindi timu ya Manyema wakati bado wakicheza mchangani pale shule ya uhuru walipokuwa wanapambana na timu ya Nungu, refa walikuwa hawaponi pale.
 
marefa wa mechi za leo wote vituko,yule mwingine katoa 9 yellow cards+1 red....tusubiri refa wa eng vs algeria..........

mkuu ki kweli kabisa.... yani kuna wakati unatamani uchape TV nyundo yaishe... maybe wanataka kuwa kwenye limelight!!!

kwenye hii weldikap, refereeing has been the biggest problem
 
Huyu refa ilikuwa ni mechi yake ya kwanza ya Fifa world cup, ameanza vibaya sana.
 
Inawezekana Germany waliwa-under estimate hao Serbia,lool!..mwenyewe sikutegemea kama wangefungwa!!Bora sikubet mechi hii mana nitafilisika,mambo ndivyo sivyo kbs!!
 
eng.png
vs
alg.png

Uwanja unaochezewa ni huu chini (Cape Town)

xdeb03.jpg

2ijqght.jpg

1186224%5ffull-lnd.jpg

axduyr.jpg

I predict a tough game for the British side, possibly Algeria to beat England

:juggle:
 
Back
Top Bottom