World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

ni kweli lolote linaweza kutokea.....mambo hayatabiriki siku hizi
 
@MN,

England leo naona wameamua kumtumia David James, basi ushindi kwa England unaonekana kuwa bayana, ni kipa mzuri
 
Kwa mara ya kwanza naitosa timu ya Afrika, leo nashangilia England, I'm fed up. Africa nitashangilia Ghana na Tembos tu. Go Rooney Go for goals...
 
i dont like england,ningependa wafungwe lakini waalgeria hawana uwezo huo,watachapwa kama watoto
 
Hahaha Preta, naona hutoendelea ku-declare interest kwa team publicly maana Germany nao wamekuangusha

sasa hivi nimeamua kuangalia mpira na sio timu....mambo yamekuwa si mambo
 
3-0 to England, it was Wayne Rooney did what was not expected to Algeria's defense 30 minutes to go.

It's England again on the move, it's Lampard now trying to penetrate the ball to Heskey...........
 
i dont like england,ningependa wafungwe lakini waalgeria hawana uwezo huo,watachapwa kama watoto

pamoja mkuu, hawa jamaa wakishinda ,media zao zinakera kuliko mibubuzela! lakini hawa algeria nao viwete wa nguvu. acha wakamilishe ratiba tu
 
Lets keep our hopes kwa hawa Mbweha wa Jangwani wakitulia naona watafanya vyema ila waache mihasira yao inayosababisha kupewa mikadi!!.Napenda kuona challenge kwa vigogo wa soka
 
Napenda kuona challenge kwa vigogo wa soka
YEAP! Iwe ni fundisho kwao, kuna mataifa yashajiona yenyewe ndiyo miamba ya soka duniani tuuu... Inauma lakini wacha wafundishwe kuwa ni ulimwengu mwingine huu
 



Watalamba kweli kwa waarabu?? Tusubirie kuona hawa ndo The Britol wanachonga sanaaaa kwenye vyombo vyao vya habari
 
Ngoja nihamie counter nikaangalie vizuri kwenye BIG BIG SCREEN hku kwa chumbani sio kutamu kuwa ww na Laptop tu!
 
hilo ndio lililobaki...inakuwa kama vuvuzela zimekuja na mabadiliko....timu bora zote utazani zimelogwa

Haswa besti mana matokeo yanakuja usivyotarajia, ila ina raha yake kuona timu fulani maarufu inafungwa na timu usizotegemea..
Hata Invisibo mwenyewe kwenye posti ya kwanza yupo aste-aste mana katabiria both teams..huh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…