Kwa nini tena mkuu?...Cheki mpaka watoto wa 'umalkia' wametia timu kusupport...
algeria wanakiputa sana wakicheza mechi na waafrica ,kwa mfano hio na Egypt walipiga mpira kinoma ndio maana nilikuwa nawategemea huku kwenye world cup.Sasa world ndio hii naona vitu viwili tofauti au mambo ya migogoro kwenye timu yao iliokuwa inaendelea ime wa-cost.
mkulu angemtuma Rizwani amwakilishe hapa wabongo WANGECHONGA sanaaa.........
pamoja mkuu, hawa jamaa wakishinda ,media zao zinakera kuliko mibubuzela! lakini hawa algeria nao viwete wa nguvu. acha wakamilishe ratiba tu
Kwani Tanzania tuna Royal family?
pamoja mkuu, hawa jamaa wakishinda ,media zao zinakera kuliko mibubuzela! lakini hawa algeria nao viwete wa nguvu. acha wakamilishe ratiba tu
Cape Town ni pazuri kusema ukweli, paangalie kwa kutokea juu:Ila Jamaani Bondeni Kutamu Chek taswira Murua kabisa!
game lina nasa nasa kwangu tu au kila mtu?
ni cable yangu ilikuwa inazingua kumbe mkuu,manake hata internet ilikata.mkuu unaangalia kwenye net? kwenye kioo naona pute liko mswano kabisa.