Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuja Kutalii Viwanja vya Sauzi! unategemea afanye kazi gani kwenye Benchi pale zaidi ya kuangalia Upuuzi wa wabinafsi Gerald na Lampardsasa huyu beckham kazi yake ndo nini katika hii timu...?
timu kubwa zinazopewa nafasi ya kufanya vizuri ndio zimekuwa vibonde kuliko hata vibonde wenyewe
Hawa England nao wachovu tu, mwaka huu sijui vipi~wale wazuri wote tunawajua wanaonekana vibonde tu!.
yani England siyo eeh?!..BTW,hizi timu zinanichanganya yani Slovakia na Slovenia pia kwa mbali Serbia..
Kweli England tuwaalike mechi ya kirafiki kama TFF watafika dau!..mana wepesi hata wakitufunga haitauma sana kama Brazil..
capellooooooooooooo,,,,,gud football.sasa huyu beckham kazi yake ndo nini katika hii timu...?
jamani hata CAPPELLO anamakosa fulani,hebu fikiria
1.Rooney kacheza season nzima lone striker kwenye 4-3-3 formation,kafunga over 30goals,leo acheze na Heskey kusubiria ndege
2.Gerrald kacheza season nzima kama SECOND STRIKER/ATTACKING MIDFIELDER leo anacheza left winger
3.Lampard kacheza season nzima free role hana majukumu kwenye 4-3-3,leo unamuweka playmaker kwenye 4-4-2
na hawa ndio key players ukiwapanga vizuri timu nzima ina tick-tick kama rolex.........
Kingine Cappello yuko kama headmaster ndio maana wachezaji wana tension especially ROONEY,wanamkataza hata kukaba kwa nguvu na nguvu ndio msingi wake,wachezaji hawajui nani anacheza hadi 2hrs kabla ya game wanakuwa hawako mentally prepared...........
Toa Lampard huyo mechi ya pili ana ruka ruka tu hamna cha maana mlete Joe Cole afanye mambo.
Toa Heskey mlete Peter Crouch kwani waarabu wala hawachezi kwa kutumia miguvu umuhitaji Heskey mbele pale.
Toa Lampard huyo mechi ya pili ana ruka ruka tu hamna cha maana mlete Joe Cole afanye mambo.
Toa Heskey mlete Peter Crouch kwani waarabu wala hawachezi kwa kutumia miguvu umuhitaji Heskey mbele pale.
Cappello ameshasema kuwa hiyo ndio system aliyokuwa anaitumia toka club level (naming the team 2 hours before the game) na imempatia makombe mengi tu kwa hiyo isiwe kisingizio. England are just not good enough.
Hivi kila mtu akitaka kucheza kama anavyocheza kwenye club yake si itakuwa vurugu? Mbona walipokuwa wanashinda kwenye qualification games mlikuwa hamsemi haya?
Wakiacha madharau yao labda watabadilika.
Hahahaha! Acha unazi kaka! Sio Lamps peke yake anayechemsha, ni team nzima ya England ni mbovu, labda James kafanya vizuri kwa kurecord clean sheet lakini hakuwa tested that much. Ebu niambie wewe nani kacheza vizuri kwenye hiyo timu ya England? In my view Rooney was the worst of the batch.
Huyo refa choo sana, wampaishe tu arudi kwao Mali~sijui lilikuwa limetumwa?.Lile refa kutoka Mali lililoharibu mechi slovenia/usa liko underfire..
JOHANNESBURG – The referee who disallowed a potential game-winning goal for the United States will face an expedited performance review from FIFA and is likely to be excluded from the rest of the World Cup, according to a FIFA source.
Akheri mie nililala, sikupoteza dk 45 za maisha yangu kuangalia stalemate.