World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Pamoja na kuwa wako down lakini wanajitahidi kusema kweli hasa ukitilia maanani Argentina ni moja ya Magwiji wa soka Ulimwenguni.
 
Another Naija miss!

Mgaagaa na upwa hali wali mkavu, wakiendelea hivi katika misses 10 hawakosi goli.
 
9ja wakiendelea hivi wanaweza kumaliza mechi bila ya shot on target
 
Wingi wa kushoto huyu ni pretender, hamna kitu. Unashangaa anawezaje kuwa best wa nchi yenye watu milioni zaidi ya 100+
 
Kuna mtu hapa hata hamjui Maradona ni nani ( read, soccer IQ close to 0 ) lakini kashaona Naija wanachemsha anasema 'Nigeria better get it together" 🙂 .
 
Hatimaye refa katoa kadi ya njano.
 
Du hali ni mbaya sana, kwa hali hii Naijeria wanatakiwa wajipange upya ingawa ni too late ili angalau mechi mbili zilizobaki wapate hata pointi moja
 
The beauty of soccer fans....

_48059246_fans_getty.jpg
 
Kuna mtu hapa hata hamjui Maradona ni nani ( read, soccer IQ close to 0 ) lakini kashaona Naija wanachemsha anasema 'Nigeria better get it together" 🙂 .

I dont wanna believe that but u never know....

_48059247_maradona_ap.jpg

Du hali ni mbaya sana, kwa hali hii Naijeria wanatakiwa wajipange upya ingawa ni too late ili angalau mechi mbili zilizobaki wapate hata pointi moja
Duh, mkuu sasa hiyo point moja waende nayo wapi? Hatua hii ni ya 'deal' or 'no deal', there is nothing in-between.
 
Poor naijeria!

Hawa jamaa ukiwashabikia utaumia sana. Wakati sisi tunataka washinde ili wawakilishe Bara wachezaji kila wanapopiga mpira mawazo yao yote ni "Ferguson kaniona sijui", "Gadiola kaniona sijui", "Manchini kaniona sijui", "Morinho kaniona sijui" and on and on!, japo wengi wanachezea club kubwa ulaya ila bado akili na mawazo yao ni kujitangaza zaidi kwa kuendekeza ubishoo.
 
Back
Top Bottom