World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Game ilikuwa Ngumu sana Thankx to Heinze kwa Goli la Mapema la sivyo mambo yangekuwa Mengine, Armando anatakiwa kufanya marekebisho kwenye Finishing, Higuain amekosa goli tatu za wazi kabisa!

Shukrani zimwendee Enyeama ameokoa goli nyingi sana na Messi na Gonzalo Higuain

By the way am the Argies fan so not bad for a starting game
 
nashukuru kusikia unatabiri/unataka usa ishinde....maana yake watafungwa kwa rekodi yako nzuri....lol

US wakicheza kama walivochza kwenye confederaion cup sioni sababu ya kuwazuia kuwafunga England........Waulize Spain(timu inaysadikiwa ni bora zaidi kwa sasa) watakueleza shughuli ya US..........
 
go USA!!!!!!!! Uingereza ndio watajua kwanini hawana koloni tena!!! just a reminder today... najua kitawauma.. no empire, no colonies.. no nothing.. pure England... couldn't even fly the Union Jack!!
 
USA wamepania sana kushinda na kabla ya kuondoka walipata "motivation talk" toka kwa Obama na Bill Clinton, na kwa maoni yangu timu yao si mbaya kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na defence ya England si nzuri na kipa pia si mzuri, hivyo kama England hawatakuwa careful wanaweza kabisa kupoteza mchezo wa leo. Mimi nawashangilia UK.
 
Onyewu si jina la ki-west hili?How come dude is playing for USA?.......Au ndiyo ile USA Born?.....anyways Go England!
 
Onyewu si jina la ki-west hili?How come dude is playing for USA?.......Au ndiyo ile USA Born?.....anyways Go England!

MBona Obama jina la kikenya, imekua je akawa rais wa marekani? england leo wanatoka patupu
 
go USA!!!!!!!! Uingereza ndio watajua kwanini hawana koloni tena!!! just a reminder today... najua kitawauma.. no empire, no colonies.. no nothing.. pure England... couldn't even fly the Union Jack!!

Mkuu mbona unawabeza sana hawa England wape heshima kidogo basi .. .. ingawa kwa ukweli USA lazima washinde Teh teh Union jack ni kwa UK sio England si unafahamu wao walitangulia ndio wakajipendelea na utitiri wa vitimu.
 
Onyewu si jina la ki-west hili?How come dude is playing for USA?.......Au ndiyo ile USA Born?.....anyways Go England!

Oguchialu Chijioke "Oguchi" Onyewu (born May 13, 1982, in Washington, D.C.) is an American footballer who plays as a defender for Milan of Italy's Serie A and the United States national team. He is often referred to by the nickname "Gucci Mane".

Background

Onyewu's parents moved to the United States from Nigeria to attend Howard University in Washington, D.C. Onyewu has two brothers, Uche and Nonye, and two sisters, Chi-Chi and Ogechi. Growing up in Silver Spring and later Olney, Maryland, Onyewu attended St. Andrew Apostle School and Sherwood High School, where he played soccer for two years.[1] He then enrolled in the U.S. residency program in Bradenton, Florida, before returning to Sherwood to graduate. He also holds Belgian citizenship.[2]
At 6 ft 4 in (1.93 m) and 210 lb (95 kg), Onyewu is the tallest outfield player in U.S. team history (two goalkeepers have been taller)
 
mimi ninautabiri wa peke yangu, game litakuwa zuri, litaisha kwa 3 : 3 hivyo wote kujiweka katika mazingira magumu.
 
Go USA!!!!

what?....since when? (you all suck LOL!).....Go England yooh!.....mpira unaanza saa ngapi?hawa ABC wameshanichosha na matangazo yao.....

Hivi when na Tanzania tutapata opportunity kama hizi?.....Kiranga kwa nini usiende kucheza mpira wa kulipwa ulaya?.....
 
I salute you!....Rooney is the great player akiweka hasira zake pembeni tutawafunga USA.....I know England got this today....for the Majesty
 
I salute you!....Rooney is the great player akiweka hasira zake pembeni tutawafunga USA.....I know England got this today....for the Majesty
Mh wewe subiri tu kwani kuna mtu special ameaandaliwa kumunyooshea huyo Rooney kidole cha kati~utamuona jinsi atakavyovimba!.:thumb:
 
Oh yeah...........Go USA go!!!!!!!!!!!!.........

hivi mkuu huu ugonjwa wa watu wengi tunaopenda ligi ya uingereza kwa sisi watanzania sijui nchi zingine, kipindi kirefu tumekuwa hatuipendi uingereza kwenye international games kwanini? ni kwa ajili ya jeuri ya media yao au
 
Walete walete hao wachovu England............Heskey ndani ya dimba..........hahaaaaaaaaaaaaaaaaa,lol
 
green,johnson,terry,king,cole,gerrard,lampard,milner,lenon,rooney,heskey.......hio ndio timu ya leo ya england....hii naona imekaa ki-mbiombio tu tutegemee very high pace game
This team can go nowhere, labda wanaeza kushinda leo, lakini with this kind of mediocres wataishia raundi ya 2 tu.

At Milner anaanza mbele ya Joe Cole? Hata hivo nashukuru James hachezi maana wanapenda sana kumtupia lawama hata zisizo na sababu. Leo wache wachapwe wao na kipa wao 'mzungu'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…