Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
wale wadachi wenzangu msihofu , tunarejesha bao na tunamaliza kazi ndani ya 90. (nasikitika sitokuwa hewani kutokana na matatizo ya tanesco huku kijijini).
hahahaaaa.... mkuu naona umeamua kuingia chimbo!!! hehehehwale wadachi wenzangu msihofu , tunarejesha bao na tunamaliza kazi ndani ya 90. (nasikitika sitokuwa hewani kutokana na matatizo ya tanesco huku kijijini).
Half-time Brazil wanaongoza na kimoja.
Mshindi ndie chaguo langu!!..Sneijder c'mon funga basi!!..
hehehehehe sasa mpira utatazamika. mnakaribishwa jamvini wapenda soka
heheheeeee, bora iwe hivi tu tusubiri matuta, yaani kitendo cha brasil kubanwa kinawapa nguvu ghana